Kibano; Wakili Chadema Vs Shahidi Jamhuri mauaji ya Akwilina

Ndio maana unakuta kesi nyingi zinachelewa sana kuna maswali mengine ni upotezaji wa muda tu na hayapo technical kabisa
Wewe ndiye ambaye hauko technical kabisa. Maswali hayo ya wakili wa utetezi unayoyabeza yamemlazimisha shahidi wa Jamhuri kukiri kuwa hajui lolote kuhusu kesi anayoishuhudia wewe unadai hayako technical?
 
Ni ya kawaida sana
 
SHAHIDI AMEJIBU VIZURI SANA SANA. SHORT AND CLEAR. HAWA MAWAKILI HUNA HAJA YA KUKURUPUKA KUJIBU AU KUJIBU MASWALI YASUYOKUHUSU. KAMA HUJAWAHI KWENDA KUTOA USHAHIDI KESI KUBWA HUWEZI KUNIEKEWA. UKITAKA KUMSHINDA WAKILI USIELEZEE SANA, NA USIJIBU YASIYOKUHUSU. TUKUMBUKE HATA KIMYA NI JIBU MAHAKAMANI.
 
Mnawalaumu tu hawa askari!
Hawa wanatumwa tu na hawawezi kataa kufanya wakitumwa sababu hamna sheria ya kuwalindia kazi yao,na tukumbuke kazi hii ndiyo inafanya waishi wao na familia yake!

Kama tungekuwa na sheria ya kulinda hawa askari wetu asipoteze kazi akikataa amri haramu ya wakubwa zake haya yasingekuwepo!

Hapa hamna kesi ni upuuzi tu
Mkuu usitafute visingizio,ni ujinga wao tu,police wapo wangapi na watanzania wapo wangapi? Je watanzania wasio police wanaishije hadi yeye akiacha upolice ashindwe kuishi?
 
Ndio maana unakuta kesi nyingi zinachelewa sana kuna maswali mengine ni upotezaji wa muda tu na hayapo technical kabisa
Kaka ukisoma katiba kwenye dispensation of justice Article 107A(2)(e) kwenye kutoa haki mahakamani kusiwe na technicalities zinazozuia haki kutolewa...
 
Yeye sio daktar alie Fanya PM hilo swali asingeweza kujibu na angejibu angeulizwa swal jingne je wewe ni daktar na mwenye kujua chanzo cha kifo ni daktar kwa kufanya PM
UPO SAHIHI MKUU, MAHAKAMANI UKIJIFANYA KUJIBU KILA SWALI AU UKALETA UJUZI MWINGI JUA UNAPIGWA CHINI FASTA. SHAHIDI AMEJITAIDI SANA KUJIBU YALE YANAYOMHUSU TU. ANGEJIBU KAMA WENGI WANAVYOTAKA HUMU ASINGETOBOA.
 
Ndio hvyo watu hawaelew hayo
 
Kunakipindi unaweza ukamuomba hakimu akuruhusu umkatemakofi wakili maana sio kwanondo hizi.

Maswali ya mtego yapo karibukaributu swali nondo lipo mbagalaaaaaa.
 
Back
Top Bottom