Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

Status
Not open for further replies.
kutokana na kauli alotoa Mnyika kwenu nyie akina Saanane, Shonza, Zito, Hashimu
Mnatakiwa muombe radh kwa kusalit chama na baada ya hapo ttuwafukuze
 
Sijaliona kosa la Zitto kutangaza kuutaka uenyekiti Chadema. Ni haki yake kikatiba za nchi,,na hata katiba ya Chadema. Mwanachama yeyote anayo haki kugombea nafasi yeyote.

Kumchagua au kutomchagua ni uamuzi wa wanachadema wanaopiga kura kwenye mkutano mkuu.

Chadema sio mali ya Mbowe wala Slaa. Ni chama cha siasa.

Achana na wachonga ngenga,,,mara msaliti mara mnafiki...kumbe wao ndo wanafiki.

Zitto hajawai kuwa CCM,,,ni mpinzani wa CCM tangu anazaliwa.

Acheni kumshambulia,,leteni hoja kakosea nini?

simple.
 
Mmh! Pilau za sikukuu. Kumbe hata hujui makosa yake. Hakuna anayemzuia kugombea uenyekiti, wala si hoja hiyo. Kuna madudu kafanya na kutishia uchawi
 
Hana kosa katutishia uchawi
 
Naona jamaa kaamua kutokota baada ya kunywa viroba vya sikukuu. Hatuwezi dumu daima kumpa msaliti na Mshirikina mshika tunguri Uenyekiti. Labda aende akatawadhwe kuwa Mganga wa kienyeji.
 

Mtajibeba mwaka huu........:bowl::bowl::bowl::target:
 
 
Du, kuna watu humu tumetoka mbali na ZZK!, nikukukmbuka nilivyomfagilia hapa, na hizi tuhuma zinazoelekezwa kwake saa hizi, naamini ni za uongo, na nitaendelea kusimama nae!.
Rostam, Lowasa ni marafiki wa kubwa wa Zitto lakini kwa upande wako hao wawili ni watu wako wa karibu sana hakika huwezi kuwatupa maana pasco wa JF na bahasha ni mwili na ngozi...
 
Rostam, Lowasa ni marafiki wa kubwa wa Zitto lakini kwa upande wako hao wawili ni watu wako wa karibu sana hakika huwezi kuwatupa maana pasco wa JF na bahasha ni mwili na ngozi...
Mkuu yegella yegella, usemayo ni kweli, mmoja ndiye "the King Maker!" na hao wawili ndio "about to be made kings in waiting"!. La mimi na bahasha nalo pia ni kweli!, "its money that rules the word"! Hata ukombozi wa dunnia hii umepatikana kwa vile vipande 30 vya dhahabu alivyopewa Iskariot!.

Laiti Yuda asingemsaliti Yesu, then Mwana wa Adamu asingelisulubiwa! na asingelisulubiwa dunia isingali kombolewa kwa sababu ni kwa kupigwa kwake, sisi tuliponywa! chanzo cha yote ni pesa!. Kila kitu ni pesa!, penye uzia penyeza rupia!, hata katika vijichokochoko vya mapenzi, pesa ndio sabuni ya roho na mwenye "kisu" kikali ndie anayekula "nyama"!.

Need I say more?.
P.
 
zito ni mwana CDM pekee mwenye akili na uwezo wa at list kusimama 101 na CCM
 

lakini kumbukeni mwenyekiti anaaamini kutoka kigoma bwana tena ujiji JE HUYO NDIYE MWENYEKITI MNAYEMWITAJI
 

jamani umri unamata "am coming from kigoma is that a type of leader that u or me we want"
 
naona jamaa kaamua kutokota baada ya kunywa viroba vya sikukuu. Hatuwezi dumu daima kumpa msaliti na mshirikina mshika tunguri uenyekiti. Labda aende akatawadhwe kuwa mganga wa kienyeji.

nwenyekiti anayeamini natural power
 
 
uchaguzi uliopita alipotaka kumtest mbowe kwenye position hii hii wazee wa chama walimwambia hayo maneno unayomwambia wewe leo,sasa atakua mtu wa kusubiri mpaka lini?mnyonge mnyongeni...mi naona tatizo la zitto ni dini yake na mahali atokako-kigoma

Watu wengine bwana! Huu wako ni ujinga uliopitiliza, zitto ana dini gani ya peke yake isiyokubalika? Ushirikina????
 

Kaanzisha PM7 ndani ya chama akijua kabisa kuwa ni kinyume na taratibu za chama
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…