Hana kosa katutishia uchawiSijaliona kosa la Zitto kutangaza kuutaka uenyekiti Chadema. Ni haki yake kikatiba za nchi,,na hata katiba ya Chadema. Mwanachama yeyote anayo haki kugombea nafasi yeyote.
Kumchagua au kutomchagua ni uamuzi wa wanachadema wanaopiga kura kwenye mkutano mkuu.
Chadema sio mali ya Mbowe wala Slaa. Ni chama cha siasa.
Achana na wachonga ngenga,,,mara msaliti mara mnafiki...kumbe wao ndo wanafiki.
Zitto hajawai kuwa CCM,,,ni mpinzani wa CCM tangu anazaliwa.
Acheni kumshambulia,,leteni hoja kakosea nini?
simple.
Sijaliona kosa la Zitto kutangaza kuutaka uenyekiti Chadema. Ni haki yake kikatiba za nchi,,na hata katiba ya Chadema. Mwanachama yeyote anayo haki kugombea nafasi yeyote.

Sijaliona kosa la Zitto kutangaza kuutaka uenyekiti Chadema. Ni haki yake kikatiba za nchi,,na hata katiba ya Chadema. Mwanachama yeyote anayo haki kugombea nafasi yeyote.Kumchagua au kutomchagua ni uamuzi wa wanachadema wanaopiga kura kwenye mkutano mkuu.Chadema sio mali ya Mbowe wala Slaa. Ni chama cha siasa.Achana na wachonga ngenga,,,mara msaliti mara mnafiki...kumbe wao ndo wanafiki.Zitto hajawai kuwa CCM,,,ni mpinzani wa CCM tangu anazaliwa.Acheni kumshambulia,,leteni hoja kakosea nini?Kama bwana wako ZZK kashindwa kukupa hata ya J.Daniel! si hata wewe ungechanga! ona viroba vinavyokutoa povu! Lohs
Rostam, Lowasa ni marafiki wa kubwa wa Zitto lakini kwa upande wako hao wawili ni watu wako wa karibu sana hakika huwezi kuwatupa maana pasco wa JF na bahasha ni mwili na ngozi...Du, kuna watu humu tumetoka mbali na ZZK!, nikukukmbuka nilivyomfagilia hapa, na hizi tuhuma zinazoelekezwa kwake saa hizi, naamini ni za uongo, na nitaendelea kusimama nae!.
Mkuu yegella yegella, usemayo ni kweli, mmoja ndiye "the King Maker!" na hao wawili ndio "about to be made kings in waiting"!. La mimi na bahasha nalo pia ni kweli!, "its money that rules the word"! Hata ukombozi wa dunnia hii umepatikana kwa vile vipande 30 vya dhahabu alivyopewa Iskariot!.Rostam, Lowasa ni marafiki wa kubwa wa Zitto lakini kwa upande wako hao wawili ni watu wako wa karibu sana hakika huwezi kuwatupa maana pasco wa JF na bahasha ni mwili na ngozi...
Go Zitto,go Zitto, goooo Zittoo,gooooooooo,..
Huyu mwandishi hatufai hata kwa lumangia.
Nyakati hizi si za kuanza biashara ya umri katika uongozi.
Ninaimani hata hapo anapofanyia kazi ana majungu sana na unafiki mkubwa pale kijana anapoonekana kushine kiutendaji.
Anatakiwa aanze yeye kung'ka hapo kwenye kiti chake na kuwaachia vijana wachape kazi,siyo kuanza kuandika utumbo utumbo kama huu, anghraaaaaaa
Inatia aibu eti mhariri mtendaji, kweli mtendaji ama mpotoshaji,....???????
Beba form Zitto na simama kidete katika hilo, wacha demokrasia itawale.
sijaliona kosa la zitto kutangaza kuutaka uenyekiti chadema. Ni haki yake kikatiba za nchi,,na hata katiba ya chadema. Mwanachama yeyote anayo haki kugombea nafasi yeyote.
Kumchagua au kutomchagua ni uamuzi wa wanachadema wanaopiga kura kwenye mkutano mkuu.
Chadema sio mali ya mbowe wala slaa. Ni chama cha siasa.
Achana na wachonga ngenga,,,mara msaliti mara mnafiki...kumbe wao ndo wanafiki.
Zitto hajawai kuwa ccm,,,ni mpinzani wa ccm tangu anazaliwa.
Acheni kumshambulia,,leteni hoja kakosea nini?
Simple.
naona jamaa kaamua kutokota baada ya kunywa viroba vya sikukuu. Hatuwezi dumu daima kumpa msaliti na mshirikina mshika tunguri uenyekiti. Labda aende akatawadhwe kuwa mganga wa kienyeji.
zito ni mwana cdm pekee mwenye akili na uwezo wa at list kusimama 101 na ccm
Sijaliona kosa la Zitto kutangaza kuutaka uenyekiti Chadema. Ni haki yake kikatiba za nchi,,na hata katiba ya Chadema. Mwanachama yeyote anayo haki kugombea nafasi yeyote.Kumchagua au kutomchagua ni uamuzi wa wanachadema wanaopiga kura kwenye mkutano mkuu.Chadema sio mali ya Mbowe wala Slaa. Ni chama cha siasa.Achana na wachonga ngenga,,,mara msaliti mara mnafiki...kumbe wao ndo wanafiki.Zitto hajawai kuwa CCM,,,ni mpinzani wa CCM tangu anazaliwa.Acheni kumshambulia,,leteni hoja kakosea nini?Kama bwana wako ZZK kashindwa kukupa hata ya J.Daniel! si hata wewe ungechanga! ona viroba vinavyokutoa povu! Lohs
BUT HAFAI MPAKA ATAKAPO KUWA "ACHE KAULI ZA FROM KGM"
uchaguzi uliopita alipotaka kumtest mbowe kwenye position hii hii wazee wa chama walimwambia hayo maneno unayomwambia wewe leo,sasa atakua mtu wa kusubiri mpaka lini?mnyonge mnyongeni...mi naona tatizo la zitto ni dini yake na mahali atokako-kigoma
Sijaliona kosa la Zitto kutangaza kuutaka uenyekiti Chadema. Ni haki yake kikatiba za nchi,,na hata katiba ya Chadema. Mwanachama yeyote anayo haki kugombea nafasi yeyote.
Kumchagua au kutomchagua ni uamuzi wa wanachadema wanaopiga kura kwenye mkutano mkuu.
Chadema sio mali ya Mbowe wala Slaa. Ni chama cha siasa.
Achana na wachonga ngenga,,,mara msaliti mara mnafiki...kumbe wao ndo wanafiki.
Zitto hajawai kuwa CCM,,,ni mpinzani wa CCM tangu anazaliwa.
Acheni kumshambulia,,leteni hoja kakosea nini?
simple.
kwa kauli ya kutoka kigoma