by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
Pasco kashapotea njia hata ukimlazmisha kurudi nyuma awez kumbuka alipotokea tatzo walipitiswa vichochoro ving sana. TATIZO LA AKILI KUBWA KUONGOZWA NA AKILI NDOGO.If I were you, I would have never opened my big mouth any more and spit anything out more that what I have vomited kwenye kadamnasi ya jf, mpaka baada ya vikao vyenu vya nidhamu vya ndani!.
Kwa ushauri tuu, bora ujinyamazie dada yangu, utatunza heshima yako hiyo kidogo iliyobakia!, hapo ulipo, tayari umebaki na nguo ya ndani ya chini tuu, naomba ujisetiri kwa kujikalia kimya, ili na hiyo usije ukavuliwa ukabaki ...wa mnyama!. Mwangalie mwenzako ZZK, kajinyamazia kimya!. Hata vuvuzela saa8 naye kimya!. Bora jikalie kimya kwanza ujue hatma yako ndipo uendeleze uhuru wako wa kutumia your freedom of expression!, kwa sasa Chadema inajitahidi kuwapunguza the "Lukosi type!", najua mko wengi, ila anayeondoka kimya kimya, ndiye anayeondoka kwa heshima, kuliko kupiga kelele ili kuny.a kambi ndipo atimke!.
Ni ushauri tuu!.
Pasco.
Last edited by a moderator: