by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 216
Pasco kashapotea njia hata ukimlazmisha kurudi nyuma awez kumbuka alipotokea tatzo walipitiswa vichochoro ving sana. TATIZO LA AKILI KUBWA KUONGOZWA NA AKILI NDOGO.If I were you, I would have never opened my big mouth any more and spit anything out more that what I have vomited kwenye kadamnasi ya jf, mpaka baada ya vikao vyenu vya nidhamu vya ndani!.
Kwa ushauri tuu, bora ujinyamazie dada yangu, utatunza heshima yako hiyo kidogo iliyobakia!, hapo ulipo, tayari umebaki na nguo ya ndani ya chini tuu, naomba ujisetiri kwa kujikalia kimya, ili na hiyo usije ukavuliwa ukabaki ...wa mnyama!. Mwangalie mwenzako ZZK, kajinyamazia kimya!. Hata vuvuzela saa8 naye kimya!. Bora jikalie kimya kwanza ujue hatma yako ndipo uendeleze uhuru wako wa kutumia your freedom of expression!, kwa sasa Chadema inajitahidi kuwapunguza the "Lukosi type!", najua mko wengi, ila anayeondoka kimya kimya, ndiye anayeondoka kwa heshima, kuliko kupiga kelele ili kuny.a kambi ndipo atimke!.
Ni ushauri tuu!.
Pasco.
Kwako issue ni kuwa kadi moja tu!!zitto ana kadi moja atapotezaje imani kwa wananchi?
Nakubaliana na wengi kuwa umri sio kigezo cha msingi cha kuangalia bali ni uwezo wa mtu. Lakini kwa upande wangu naogopa sana kumpa uongozi mtu mwenye tabia ya unafiki, kujipendekeza na kupenda umaarufu au kutumia umaarufu wake kama njia ya kupata kile anachotaka(Blackmail). You dont have to arrongant only because wewe ni maarufu.
Suala la Uenyekiti au urais linahitaji mtu smart and wise. Tatizo la Zitto anajazwa maneno kuwa we unaweza,ni maarufu bila hata ya kufanya Critical thinking anakurupuka. Hii demokrasia tunayooiiga toka kwa wenzetu haifanywi kiholela. Hata huko kwenye vyama vyao hawakurupuki tu wakataka kugombea uenyekiti au urais. Kuna wazee na watu maalum wanaokaa na kufanya verting na kisha kumshauri mtu au kijana kugombea nafasi fulani, baada ya kuona kuna hitaji hilo. Sisi huku tunataka kwenda ovyo kwa kuvimbishana vichwa tu eti tu kwa sababu tumeambiwa demokrasia. Kwa tabia ya Zitto ilivyo hafai kupewa uenyekiti wa Chama cha upinzani achilia mbali Chadema. Not Trusted
jk hajawahi kuwa naibu katibu mkuu wa ccm katika umri wake wote achilia mbali miaka 25! Pia hakupata unaibu waziri akiwa na umri wa miaka33 kwani katika umri huo alikuwa hajawa hata mbunge, amekuwa naibu waziri mwaka 1987 akiwa na miaka 37 hivyo wewe nakuchukulia kama mwongo tu na wtu wakujue hivyo basi
Nakubaliana na wengi kuwa umri sio kigezo cha msingi cha kuangalia bali ni uwezo wa mtu. Lakini kwa upande wangu naogopa sana kumpa uongozi mtu mwenye tabia ya unafiki, kujipendekeza na kupenda umaarufu au kutumia umaarufu wake kama njia ya kupata kile anachotaka(Blackmail). You dont have to arrongant only because wewe ni maarufu.
Suala la Uenyekiti au urais linahitaji mtu smart and wise. Tatizo la Zitto anajazwa maneno kuwa we unaweza,ni maarufu bila hata ya kufanya Critical thinking anakurupuka. Hii demokrasia tunayooiiga toka kwa wenzetu haifanywi kiholela. Hata huko kwenye vyama vyao hawakurupuki tu wakataka kugombea uenyekiti au urais. Kuna wazee na watu maalum wanaokaa na kufanya verting na kisha kumshauri mtu au kijana kugombea nafasi fulani, baada ya kuona kuna hitaji hilo. Sisi huku tunataka kwenda ovyo kwa kuvimbishana vichwa tu eti tu kwa sababu tumeambiwa demokrasia. Kwa tabia ya Zitto ilivyo hafai kupewa uenyekiti wa Chama cha upinzani achilia mbali Chadema. Not Trusted
hichi kicheko ni cha mtu anajejishikiza saloon busy na simu kukumbusha wafadhili wake kuwa sasa ya breafast imefika, saa ya lunch imefika, saa y amsosi wa jioni imefika baada ya kuachika kwa mumewe na kazi kuwa kushney. Kumbe hata wewe huamini kuwa ni mmojawapo ya wenyewe?ulidhani hakina mwenyewe ndio maana ukajiachia hivyo? Utauza bar soon, hadi JK aje kuchomoa huko kam Ray C ktk unga.Niamini kwa hilo.Kama wamekupakata wengi ujue ni maisha tuu ya kupita mjini na huna uwezekano w akupa hata muuza butcher kwa vile huna hata hela ya kumhonga, vitabia vyako vutamfukuza mra tuu baada y akupata ride. Dada upo cheap sana.Hahahaaaa awaachie chadema yenu,eeh kumbe chadema ina wenyewe
Moja ipi hiyo mpya ya CCM au ya Chau...nini tena?YA CDM keshapoteza pengine.Na aliyobaki nayo moja ni ya CCM.ALiyodanganywa na JK kuwa atakwenda amua ugomvi katk ya Edo na Membe,kwa kuwakosesha wote, halafu apewe yeye na kuongeza mtaji wa wana CDM.zitto ana kadi moja atapotezaje imani kwa wananchi?
madai yako utawin heart yake kipindi hichi cha machungu.Kwa taarifa yako wanaume walipopigwa vibuti na wanawake waliowahi lala nao kwa vigezo vya kutofikia viwango mbalimbalia vya kimahusiano huwa haawaachi fight ili wapate pa kujipa moyo... Zitto ktk list yake ya wanawake wengi hawapo tayari kuzaa naye mtoto kuhofia kupata mtoto wa sura ile.Wengine hawakuweza endelea naye kwa vile ana utoto sana ktk social life yake.Kingine ni kuweka life yake ktk umaarufu wa kisiasa, na kujikuta huo umaarufu umshikia kile kitu kuanzia mapenzi hadi esteem yake.mwisho wake utaishishia kutunza frustrated box, ambalo kila likitoka nje linajikuta kuna mwananke linahisi linahitaji kwenda muonyesh akuwa hajafulia.mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.