T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,930
- 990
kaka tusipende kulaumu system bila kujua undani hivi ukiambiwa ubainishe jinsi mfumo unavyohusika na haya matukio utaweza kubainisha,omba mungu kunasiku unaweza kuwa kwenye mfumo na utaona lawama utakazopokea hata huzijuiHali ndiyo hiyo, ninachowasikitikia wengi walio kwenye system hawafikiri siku watakapokuwa nje hali zao zitakuwaje. Nayakumbuka mafunulio kwenye maandiko matakatifu juu ya yule mtumishi mwovu alipoamua kufikiria hatima yake ili atakapoachishwa kazi apokelewe kwa wahisani, viongozi wetu hawako hivyo.