KIBANDA: Kwa JK uzushi, kwa wengine kashfa!

KIBANDA: Kwa JK uzushi, kwa wengine kashfa!

Kibanda sijui nini kilimpeleka habari corporation!

Kweli utafikiri ulikuwa kwenye mawazo yangu! Kitu gani haswa kilimpeleka huko? Njaa? Uswahiba na el( maana el na rostam lao moja!) akitrudi nitamuuliza ili swali akichukia message will already be delivered

Akili ndogo kuongoza akili kubwa ni LAZIMA kunyamazishana kwa vipigo! maskini nchi yangu... Mungu tuangazie uso wako.

take it from me today, it it will not happen in 2015 but in 2020 tunaona mambo makubwa sana kiasi kwamba uchakachuaji hautakuwa na nafasi tena!!!
Mkuu Zongwale, nimeipenda sana hiyo kwenye bold!, nimegundua humu jukwaani, ni watu wachache sana wanao uishi ukweli halisi jinsi ulivyo!. Ukiweza kutoa sababu, why it will not happen in 2015, and if there is anything that can be done now to make it happen, please do!. I had the same opinion na nikaweka humu na sababu why it will not happen, niliishia kusakamwa, kutikanwa na kuitwa gamba!.
Pasco.

kibanda ilikuwaje hukusimama hapa!

ilikuwaje hukubaki absolom yule tuliyekujua

ilikuwaje brother?

zile makala za aina inayotofautiana na mbingu dhidi ya ardhi na makala hii zilianzia wapi?

zilitoka wapi brother?

uliaznaje kibanda kuandika kanusho la makala hii,?

ulipata wapi huo ujasiri ukasahau kuwa jamaa huwa hasahau kitu?

ilikuwaje ukasahahu jamaa ni mtu wa visasi?

ilikuwaje brother?

ilikuwaje ukaamini uko salama kiasi hicho?

dah!

maskini TANZANIA!ipo siku tutakulilia sana nchi yangu?maana bado hatuamini kuwa unajifia taratibu!ikifika hiyo siku ya kutambua kuwa nchi yetu ni marehemu hakika hakuna chozi litakaloacha lisitoke!OLE WANGU hiyo siku nikiwa hai!

NAMSHANGAA SANA KIBANDA NI KWANINI ALIJISAHAU?
.Inamaana alishindwa kukumbuka kuwa Fastjet ni mtu wa VISASI?
.hakumbuki alichofanywa Babusea tena na familia yake ambayo haikuwa na hatia?
.Mzee wa visasi naamimi Anaiangamiza Tz kwa kulipa kisasi kwa Baba wa taifa na viongozi waliomtangulia waliojitahidi kulijenga taifa imara lenye mtengamano wa kitaifa.
.Anafanya hivi kwa kulipiza kukataliwa kwake kuwa rais mwaka 1995.
.Kisasi ndiyo desturi yake.
Haiwezekani kukopa zaidi ya tr.22 na kujenga miundo mbinu fake ambayo itaharibika kwa muda mfupi ingali tutaangaka kulilipa deni miongo na miongo.
.Fastjet si mtu wa kusamehe na kusahau kama Kibanda alivyofikiri.
NA BADO ATAENDELEZA VISASI HADI KUSTAHAFU KWAKE.

Kibanda ni jasiri sana,mimi binafsi nashukuru jamaa bado yuko hai.

Atapona na atarudi mstari wa mbele tu kupambana.

Uhuru wa waandishi hauna kikomo. Siku zote waandishi wanatofautiana kimsimamo na upeo wao pia.

Viongozi wa aina hii akiwa na mkewe utasikia anajigamba na misemo ya aina hii 'And after all,I deserve a little fun',' I couldnt say no'

Tanzania tunaangaliwa kwa umakini sana na UN kutokana na matukio haya ya kugandamiza haki za waandishi.

Kote huko ni kuzunguka na kuibambikiza Chadema kesi iko wazi na mizengwe yote hii ni ulipizaji wa kisasi sababu ya ukweli wake katika fani ya uandishi.

Back
Top Bottom