Kibanda kuwa Managing Editor wa New Habari kuanzia Disemba 1, 2012

kama kweli ni mkakati wa kushinda kesi aliyoshitakiwa na serikali ya mtandao wa dot com
au anatega mingo umaskini unatabu unanyima mtu uhuru
 
Ndiyo maana ameanza kusifia mafisadi...Kumbe ndoa ilikuwa karibuni...Kaolewe mwaya Kibanda. Tatizo umemgusa kipofu mkono ndipo ulipochemka.
 
Kila mtu ana bei huko kwenye siasa, RA ni mlipaji mzuri vile vile so it's a match of kind.
 
japo sikusoma makala yake ya jana, ila kichwa chake hakikunifurahisha hasa ukizingatia kwamba gazeti la Tanzania Daima lina uhusiano na CDM na mwandishi wa makala ndiyo mwariri,hivyo ilileta picha kwa wasomaji kwamba,CDM wamemwogopa Kinana, kitu ambacho hakifai.UWOGA WA DIZAINI HIYO NI DHAMBI. Aende haraka
 
Duh!hii kali,lakini hakuna haja ya kushangaa kwa kuwa watu wanatafuta!

Hakuna kitu kama hicho, kama kweli, amejishushia hadhi yake sana nadhani tatizo hakuwa mtu wa misimamo "thabiti" ni sawa na akina dada poa pale makaburini, kinondoni road ......what dictate ni how much you pay! hiyo ni hatari sana it is very sad! amechefua tasnia nzima ya uandishi, kwenda kufanya kazi chini ya mafisadi!! ngoja nacheck background yake nitawamwagia hapa soon.
 
Habari niliyopata hivi punde ni kuwa mhariri mtendaji wa Tanzania Daima bwana Absalom Kibanda anaenda kufanya kazi kwenye kampuni ya Rostam Aziz kama Managing Editor chini ya babu Prince Bagenda. Kama kawaida kampuni New Habari inachapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, The Afrikan, Bingwa na Dimba.

- Tetesi kutoka kwa Jakibinda, kivuli cha Kibanda kuikubali CCM na Kinana kumbe bado kinawatesa, mlizoea uongo uongo na majungu hamuwezi kuambiwa ukweli, mkiambiwa ukweli ni kutapa tapa kila kona ya Dunia kutaka kuchafua wanaowapa ukweli wenu, poleni sana ila huu ni mwanzo tu!!

Le Mutuz!!
 
Mkuu Le Mutuz kumbe upo humu JF.
Jangili Kinana kumbe anatisha sana!!

Baada ya mwaka mmoja ningependa uje tena hapa hapa JF kukiri matokeo ya kumkabidhi Jangili aratibu chama cha mazezeta(CCM)
 
Ndio yule aliyeandika makala ya kumuhofia Kinana kwa kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa CCM?!

Alijua anaondoka kwenda kuwatumikia mafisadi akaregister msimamo wake atakaokuwa nao akiwa kule though sio vibaya kama watoto wake wataenda choo kwa kuuza heshima yake
 
Mkuu Le Mutuz kumbe upo humu JF.
Jangili Kinana kumbe anatisha sana!!

Baada ya mwaka mmoja ningependa uje tena hapa hapa JF kukiri matokeo ya kumkabidhi Jangili aratibu chama cha mazezeta(CCM)

- Now look at this, Mukama tu amewatoa jasho na kuwapiga kipigo cha mbwa mwizi kwenye udiwani sasa ndio iwe babalao lililokuwa linawapiga kila uchaguzi wa Rais? Mkuu next time jipange na historia maana sio siri huijui kabisaaa!!, ungekwua unaijua then ungejua kwamba Kinana ndiye aliwapiga kila uchaguzi wa Rais mliogombea na kushindwa kwa aibuuu!!

Yaaani wewe sijui kama kichwa chako kina ubongo au ni maji yamejaa..hivi kumbe mijitu minene ndo mlivyo..sasa namuelewa mwalimu kwa nini hakutaka babako awe rais maana unatupa taswira ya mzee wakati ana umri wako..
 
hivi watumishi wooooote, wanaofanyakazi billicanas ni CDM. tujaribu kutofautisha ajira na siasa . hata mh MBOWE hawezi kuingiza biashara zake kwenye siasa na kuwa moja ya vigezo vya ajira kuwa mwanachama wa CDM. kumbuka HATA first lady kwamaana ya first lady wa mh SLAA alikuwa diwani wa CCM , mama ROSE KAMILI hivyo kama ni kweli hakuna tofauti ya mshambuliaji wa klabu ya simba MRISHO KHALFAN NGASSA .kimwili yuko SIMBA kiroho yuko YANGA

Nasubiri Rage agombanie urais Yanga
 
- Tetesi kutoka kwa Jakibinda, kivuli cha Kibanda kuikubali CCM na Kinana kumbe bado kinawatesa, mlizoea uongo uongo na majungu hamuwezi kuambiwa ukweli, mkiambiwa ukweli ni kutapa tapa kila kona ya Dunia kutaka kuchafua wanaowapa ukweli wenu, poleni sana ila huu ni mwanzo tu!!

Le Mutuz!!

Kaka upo?
Long time no see!!
 
mwacheni kibanda aende new habari,pengine ameona huko kuna maslahi zadi ya huko kwa mhe.aikael Mbowe sasa hizo hoja nyingine za nini?, wewe ukipewa ulaji pale kwa mzee kibaki utakataa? au utahamisha mpaka familia?,kikubwa hapa ni chapaaaaaaa hakuna kingine,semeni mpaka kesho kama kweli kibanda anaenda huko acha aende,walikuwapo waanzilishi kina balile,kina manyerere jackton,leo wako wapi?,si waliondoka,nani kasema kibanda ni mwanachama wa CDM au CCM?,acheni pumba
 
Habari niliyopata hivi punde ni kuwa mhariri mtendaji wa Tanzania Daima bwana Absalom Kibanda anaenda kufanya kazi kwenye kampuni ya Rostam Aziz kama Managing Editor chini ya babu Prince Bagenda. Kama kawaida kampuni New Habari inachapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, The Afrikan, Bingwa na Dimba.

Kama habari hii ni ya kweli basi naunganisha na maoni yake ya Jumatano kwenye Tanzania Daima, juu ya kusifia uteuzi wa CCM. Makala hiyo imo humu JF. Naona kaungana na Deo Balile, ambae wlikuwa wote Free Media
Big up Kibanda, maisha ni mzunguko, hakuna uadui wakudumu, ila maslahi ya kudumu.
 
Kila mtu anatafuta maisha bora, ni njia tu tunatofautiana, wanasiasa wanalijua sawa sawa, ni sisi washabiki wa humu ndo tunaumizaga vichwa na kuwa na imani kwa viongozi.

Ngoja Dr.Slaa 2015 ashindwe urais usishangae akarudi zake CCM alikotoka ili azeeke kwa amani.
Waangalia Mrema na Seif kwa sasa ni wapinzania soft huku wakiangalia maslahi yao kuelekea uzeeni, hawawezi tena ku-risk.
 
Yaaani wewe sijui kama kichwa chako kina ubongo au ni maji yamejaa..hivi kumbe mijitu minene ndo mlivyo..sasa namuelewa mwalimu kwa nini hakutaka babako awe rais maana unatupa taswira ya mzee wakati ana umri wako..
Minyama uzembe kama huyo kwa nchi kama Uingereza ni ngumu sana kupata kazi, kwa sababu Waingereza wanaamini mtu mwenye mwili mnene ni dalili za uzembe, ulafi na utapiamlo.
 
Alijua anaondoka kwenda kuwatumikia mafisadi akaregister msimamo wake atakaokuwa nao akiwa kule though sio vibaya kama watoto wake wataenda choo kwa kuuza heshima yake

Namshukuru Mungu kwa kila neno jema au baya. Watu wanazungumza nadharia za kipuuzi kweli kweli. Ni kama vile kula na maisha yangu inawategemea wao. New Habari ni kampuni ya magazeti kama ilivyo Free Media. Kwa taarifa yenu nilikuja Free Media nikitokea Mwananchi enzi ikimilikiwa kwa ubia kati ya Rostam na Nation Media Group. Naamini uandishi wa habari ni taaluma huru. Mawazo ya mwanahabari wa kariba yangu yanaongozwa na 'ukweli' 'ukweli halisi'. Nimefundishwa kuheshimu maoni ya matu hata kama sikubaliani nayo. Nasikitishwa na usomi uchwara wa vijana wetu ambao hawako tayari kumeza vidonge vichungu vya ukweli, uwazi na uhuru wa mawazo. Haya ni mawazo mgando
 
Ndiyo maana ameanza kusifia mafisadi...Kumbe ndoa ilikuwa karibuni...Kaolewe mwaya Kibanda. Tatizo umemgusa kipofu mkono ndipo ulipochemka.

Watasoma lakini hawata elewa. Makala ya uchambuzi unasema inasifia! Vijana wa Kitanzania buuure kabisa....critical appraisal na praising ni vitu viwili tofauti...wewe Kinana unamsoma na kumsikia. Miye namjua kwa karibu na kumfuatilia kwa karibu
 
Back
Top Bottom