Kibanda kuwa Managing Editor wa New Habari kuanzia Disemba 1, 2012

habari niliyopata hivi punde ni kuwa mhariri mtendaji wa tanzania daima bwana absalom kibanda anaenda kufanya kazi kwenye kampuni ya fisadi rostam kama maneging Editor chini ya babu prince bagenda kama kawaida kampuni new habari inachapisha magazeti ya mtanzania rai the afrikan bingwa na dimba

Habari zako zina ukweli ndani yake ila anakwenda kushika nafasi ya bagenda, na rostam kauza kampun kwa lowasa hizo ndizo taarifa za kweli
 
habari niliyopata hivi punde ni kuwa mhariri mtendaji wa tanzania daima bwana absalom kibanda anaenda kufanya kazi kwenye kampuni ya fisadi rostam kama maneging Editor chini ya babu prince bagenda kama kawaida kampuni new habari inachapisha magazeti ya mtanzania rai the afrikan bingwa na dimba

Now it adds up!! Ile makala yake ya jana ya "KUMUOGOPA KINANA" ilikuwa ina viashiria vya aina hii; mwacheni akajiunge na makanjanja wenzie huko na kina Bashe wasambaza rushwa! Good riddance; and God speed!
 
hivi watumishi wooooote, wanaofanyakazi billicanas ni CDM. tujaribu kutofautisha ajira na siasa . hata mh MBOWE hawezi kuingiza biashara zake kwenye siasa na kuwa moja ya vigezo vya ajira kuwa mwanachama wa CDM. kumbuka HATA first lady kwamaana ya first lady wa mh SLAA alikuwa diwani wa CCM , mama ROSE KAMILI hivyo kama ni kweli hakuna tofauti ya mshambuliaji wa klabu ya simba MRISHO KHALFAN NGASSA .kimwili yuko SIMBA kiroho yuko YANGA

Si kwamba tu hawezi, Freeman Mbowe hajawahi kufanya mwingiliano wa biashara zake na siasa. Ndiyo maana hata kampuni ya Habari ya Free Media, limekuwa very independent from owner intervetion or censorship of that kind kama ambavyo vyombo vya habari vingi vina suffer. Anaajiri watu wenye taaluma husika watimize wajibu wao.
 
Sishangai maana makala zake nyingi katika Tz. Daima ziliegemea sama kuwatetea Lowassa na wenzake. Kazi ya 2015 imeanza na huu ni mkakati rasmi wa kambi ya EL.
 
So what's the problem...at the end of the day we are all working for our own lives na kwa hiyo tunaamua wapi panatufaa guyyyyyyyyyyyyyz!
 
Kwa makala aliyoiandika jana mimi naona anachelewa kuondoka. Alijipambanua wazi yuko mrengo gani kiasi kwamba ameweza kuwapa gazeti la uhuru leo kichwa cha habari
 
Kwa wafuatiliaji wa siasa siasa za nchi hii, hatua ya Kibanda haishangazi, anafahamika kuwemo kwenye payroll ya EL!!!
 
kazi popote pale ili mradi tu mkono uende kinywani na kufuata maadili ya kazi basi ndo muongozo huo kama ni kweli nakutakia kazi njema ofisi mpya.
 
Lowassa kaanza kujipanga kwa media, tutegemee kuchafuana kama JK1995,
LE, Bashe&Co wataweza kutumia media kumpata Rais 2015?

Na ndiyo maana akahakikisha anamtoa Tanzania Daima, kwa pingamizi kubwa la mafisadi!!! Na hawa editors Bwana, hawaeleweki sana!!! CDM Vs EL in 2015!!! Ha ha ha!! Patachimbika!!
 
Aende lakini katika Uandishi wake akumbuke kuzingatia Ethics za Uandishi habari. Si kusifia tu hata kusichosifika au kukandia kitu ambacho hakina mawaa kwa ajili ya kujipatia tu "vipande thelasini".

Uzuri wa ethics sio laws. You can do or reject them.
 
Kuna habari hauhitaji kuhakikishiwa kwa sababu kama ni kweli au si kweli haikupunguzii wala kukuongezea kitu.
 
Kazi ni kazi ilimradi mkono uwende kinywani lakini usiende kinywani wakati watoto wa wenzio unashindisha na kuwalaza njaa kwa tamaa ya kujali familia yako tu kwani laana yake utafuna hadi watoto wa vitukuu vyako.
 
Back
Top Bottom