anaomba msamaha,anaponda humohumo,anasifia humo humo..kesi inayomkabili imemfanya anunulike kirahisi sana,mwoga wa jela huyu.,anachonikera zaidi ni kujifanya genius kuliko wote sababu alisoma HGL.
amenunuliwa kwa bei nafuu sana,!!kibanda usiogope kwenda jela kwa kesi inayokukabili kama alivyofanya yule wa mwananchi na tume ya mwangosi..kwenye msafara wa mamba na kenge kama kibanda wamo
Kwanza ningependa unionyeshe mahali ambapo Kibanda anajaribu kuwapotosha watu kwa kumpamba Kinana,hilo ni moja Lakini Pili Siamini kama Kibanda ameonesha katika Andishi lake kwamba kutokana na Uteuzi wa Kinanan sasa CHADEMA haiwezi kufurukuta tena:Nadhani utakuwa umemuelewa vibaya tena sana Mkuu Kibanda
namini hata baadhi ya viongozi wa CDM sio wasafi kama unavyomsemea Kinana kamba ni mchafu,kuna wakina Dk Slaa wamewahi kupata tuhuma nyinginyingi zikiwemo hizo hizo za ufisadi kwenye makanisa huko alikokua,na hata kenye masuala ya ngono!
Sio rahisi kihivyo mkuu!!!!!!!
ushindi wa kishindo na Tume ya Uchaguzi ya Mh.Rais; Kinana alikuwa kampeni meneja bila kuwa na tume huru ni sawa na kufanya mazoezi ya kuua sisimizi wakati ukiwa na rungu ya tani 50 ??? Na kweli tumeshamsoma vema Kibanda!!Ukitaka kujua kama Kinana ni kimbunga yeye ndio alifanikisha ushindi wa kishindo kwa CCM kuanzia mwaka 1995, 2000, 2005, 2010.
Kama aliweza kuratibu na kupanga ushindi wa CCM hakiwa amekabidhiwa dhamana ya muda mfupi ya kuongoza kamati ya taifa ya kampeni za chama hicho.
Tutalajie nini akipanga mikakati na kusimamia mwenyewe utekelezaji wa mipango ya chama kama Katibu Mkuu.
Hapo ndipo unatakiwa umsome vizuri Kibanda.
ushindi wa kishindo na Tume ya Uchaguzi ya Mh.Rais; Kinana alikuwa kampeni meneja bila kuwa na tume huru ni sawa na kufanya mazoezi ya kuua sisimizi wakati ukiwa na rungu ya tani 50 ??? Na kweli tumeshamsoma vema Kibanda!!
Si rahisi kihivyo kitu gani? Nani asiyejua kwamba usalama wenu ccm uko kwa vyombo vya dola? au unataka kupingana na mwenyekiti wako?
Ni mali ya kiongozi wa CHADEMA; 'unajifanya' hujui au mkwara tu?! Haya Lete lingine!
Ukitaka kujua kama Kinana ni kimbunga yeye ndio alifanikisha ushindi wa kishindo kwa CCM kuanzia mwaka 2010
acha uvivu wa kufikiri kumkataa mkapa hakumaanishi kumkubali kikwete.kama alimkataa mkapa the akamkataa kikwete means aliwakataa wote,Abi Kibanda! Nakushangaa sana. Kwanza wewe ni mwongo msahaulifu na pia jua kuwa atakaye kukosoa hapa ni kijana mdogo.
UMESEMA mwaka 1995 hukuunga mkonn harakati za Mwl . Nyerere (udikteta katka demokrasia) ili Mkapa awe mgombea urais kupitia CCM, na umethibitisha kwa kusema utabiri wako ulitimia kwa Mkapa kuboronga mwishoni. Lakini pia umesema ulipinga 2005 Kikwete kugombea urais na hadi ukakwaruzana na Rostam, hata hivyo Kikwete alishinda na kwamba wote tunashuhudia kuboronga kwake.
Sasa huyu ndo Kikwete aliyepokonywa karata na Mwl. 1995 kwa kumpendekeza Mkapa, sasa 1995 wewe ulikuwa upo kwa mgombea yupi? Au Kikwete wa 2005 uliyempinga alikuwa sio yule aliyefanyiwa udikteta 1995?
Tukiendelea zaidi pia umesema, Mrema 1995 kupitia NCCR hukumkubali. Je mwaka huo basi wewe ulikuwa huna mgombea wa kumpa kura yako?
Au alikuwa wa chama kipi mbali na hivyo viwili.
Maranya mbona unanihukumu kihivyo bila kunipa nafasi ya kunifahamu,sikia mimi siko huko uliko,mimi ni mwanaharakati na ndiyo maana nimekuwa nakuunga mkono kwenye coment zako nyingi,na vivbyo hivyo nitamuunga mkono mwingine yeyote yule ambaye nitaona anazungumzia utaifa ama hoja,na niko tayari kuchafuana na wewe vyovyote utakavyo kama nitaona unamshambulia mtu pasipo na hoja ya msingi,maranya umekuwaje wewe?,acha ujinga mkuu naona sasa tuanze kupeana za uso ila niwaombe Mods wawe makini kwa sababu kuna watu humu hawachelewi kuwaban wakipitiliza ila wengine wanachiwa tu wanatirirka watakavyo,wewe kama ni CDM endela ila siku likinuka uatafute pa kwenda sisi wanaharakati tuko KILA KONA YEYOTE YULE TUKO NAE MAADAM AMESIMAMIA UKWELI,Peleka ushbiki wako huko we unadhani kila anayepingana na wewe ni CCM,nyooooooo!