Mwigulu Nchemba hajawahi kukanisha na aje hapa abishe alivyomtuma Ludovick.... Endelea kuchimba not long utaupata ukweliHivi wewe na akili zako timamu ulikubaliana na maelezo ya Marando na zile kauli za wabunge kuhusu hizo pesa alizotuma Mwigulu?
Mbona mnaichukulia hii ishu kirahisi rahisi hivyo? sikiliza mkuu, intelijensia yangu sina shaka nayo, haya yote unayoyaweka hapa usidhani unanishangaza, yote yamekuwa yakisemwa na kuaminiwa na watu wenye maono mafupi kama wewe, mimi nachimba na kutafuta kiini zaidi cha huu mkasa.
Hivi wewe na akili zako timamu ulikubaliana na maelezo ya Marando na zile kauli za wabunge kuhusu hizo pesa alizotuma Mwigulu?
Mbona mnaichukulia hii ishu kirahisi rahisi hivyo? sikiliza mkuu, intelijensia yangu sina shaka nayo, haya yote unayoyaweka hapa usidhani unanishangaza, yote yamekuwa yakisemwa na kuaminiwa na watu wenye maono mafupi kama wewe, mimi nachimba na kutafuta kiini zaidi cha huu mkasa.
Mkuu, kwa ukaribu wa Ludovick na Dr Slaa sidhani kama angeweza kumsaliti Dr Slaa kwa kushinikizwa na Mwigulu, hemu angalia Mwampamba anavyotoa ushuhuda wake kuhusu Ludo;
Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)
shida yako ilikuwa hilo hitimisho lako,hapo kwenye blue hapo... labda tukuulize mkuu, mbona siri za CCM na barua zao za siri tunazipata na kuzisoma?je wajua ni kwa nini?kwasababu kule ndani kuna watu CCM shati tu lakini moyoni wao ni chadema, kwa hivo kwa huyo kijana yawezekana kapelekwa chadema kwa Lengo hili haswaaa, ili ionekane ni chadema wanahusika...haya connect the dots...same guy inasemekana alikuwa na mawasiliano na Mwigulu, na mpaka Kutumiana Pesa kwa Mpesa je Mwigulu ni wa chama gani?Connect dots basi..... au hapo (kwenye hilo) hupend kuconnect dots?My take;
Ndugu Ludovick ambae kwa sasa bado yupo mahabusu, alikuwa ni mfanyakazi wa CHADEMA makao makuu, chini ya kurugenzi ya ULINZI na USALAMA kabla ya kukutwa na mkasa wake ambao ndio umemuweka rumande mpaka hivi sasa. Kuwepo kwa kijana huyu kwenye hii kurugenzi na maelezo ya bwana Kibanda nadhani wana-JF mnaweza ku-connect dots.
CHADEMA ukweli ni kwamba mwaka 2013 umekuwa mwaka 'tasa' kwenu, kwani mikakati mingi ya kichama imekuwa ikibuma na mbaya zaidi ni pale mpaka siri za ndani ya chama kuzagaa mitaani, haya yote ya kubuma na kuvuja kwa siri ovyo ovyo hivi, kuna sababishwa na 'uchanga' wenu katika kusimamia shughuli za kichama, mna safari ndefu sana.
Source: DIRA YA MTANZANIA.
hivi wewe na akili zako timamu ulikubaliana na maelezo ya marando na zile kauli za wabunge kuhusu hizo pesa alizotuma mwigulu?
Mbona mnaichukulia hii ishu kirahisi rahisi hivyo? Sikiliza mkuu, intelijensia yangu sina shaka nayo, haya yote unayoyaweka hapa usidhani unanishangaza, yote yamekuwa yakisemwa na kuaminiwa na watu wenye maono mafupi kama wewe, mimi nachimba na kutafuta kiini zaidi cha huu mkasa.
hata mwagulu mwenyewe alikiri kumtumia ludo hizo hela. Upo hapo?
Yeah, hata Tambwe Hiza naye alikuwa Katibu Mwenezi wa CUF...
Ndugu Ludovick ambae kwa sasa bado yupo mahabusu, alikuwa ni mfanyakazi wa CHADEMA makao makuu, ...
Wana-JF!!
Mnamkumbuka mhariri ABSALOM KIBANDA? AMBAE ALITEKWA NA KUTESWA?, amesema yafuatayo kuhusu wahusika ambao walimfanyia vitendo hivyo vya kinyama ambavyo vimempa ulemavu wa kudumu wa jicho lake. Nanukuu;
"Acha niliseme hili jamani pengine moyo wangu utatulia. Mmoja wa watu walio nishambulia ana fanana kwa sura na umbile la Ludovick Rwezaura yule kada wa CHADEMA aliyewekwa ndani na Lwakatare ambae nimemuona kupitia magazeti na mitandao ya kijamii.
Wewe inaonekana taarifa zinakupitia pembeni. Mbona hili jambo lipo wazi kabisa siku nyingi. Tena watu walileta na evidence za Ludovick mwenyewe akijitetea kwamba siku Kibanda amepigwa yeye Ludovick alikuwa ametekwa?
Sasa story ipo hivi:
Baada ya Nchemba kumtuma Ludovick akamrecord Lwakatare, na kupeleka ile video polisi, halafu akaona polisi hawachukui hatua, ndipo alimtuma Ludovick akamshambulie Kibanda ili ionekana mipango ya Lwakatare ndiyo imetimia.
Ndiyo maana mara tu baada ya Kibanda kushambuliwa, video ya Lwakatare iliwekwa kwenye mitandao.
Kwani kisa cha CHADEMA kumtosa Ludovick ni nini? Ni baada ya kugundua kwamba Ludovick ni mmafia. Hilo lipo wazi mkuu, kama hukuwa na taarifa basi uipate saa hivi.
Mwigulu Nchemba ndiye aliyemtuma Ludovick akamdhulu Kibanda ili apate cha kusema kuhusu video ya Lwakatare ambayo waliitengeneza na Ludovick.
Mwigulu Nchemba ndiye aliyemtuma Ludovick akamdhulu Kibanda ili apate cha kusema kuhusu video ya Lwakatare ambayo waliitengeneza na Ludovick.
Mkuu Lukolo, kwa ukaribu wa Ludovick na Dr Slaa sidhani kama angeweza kumsaliti Dr Slaa kwa kushinikizwa na Mwigulu, hemu angalia Mwampamba anavyotoa ushuhuda wake kuhusu Ludo;
Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)
Kwani mtu akifanya kazi kwenye chama cha upinzani hawezi kuwa agent wa TISS??
Hebu kamuulize Mrema, Bagenda na wenzao...!!