Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,643
- 164,790
- Thread starter
-
- #81
Mtu yeyote anaeshabikia uovu nae ni mwovu. na adhabu yake ni hapahapa duniani
ridhiwan na salma wasipodhibitiwa watalipelekea Taifa mahali pabaya sana, wanadhalilisha heshima ya urais kitu wanachosahau ni kuwa majina yao hayajawahi kutokea kwenye ballot paper wakati wa uchaguzi, washauri wa rais watekeleze wajibu wao kuzuia kadhia hii.
Ni Kweli tumewaona watekaji wakitamba wakiwa wameachiwa ofisi na KOva Kwa mfano Ahmed Msangi pamoja na kutajwa na Dr Ulimboka,Ramadhani Ignodu Kutajwa na Dr Ulimboka wameongezwa vyeo,Kamhunda anakula bata kwa mrija pale pale Iringa huku mke na watoto wa Mwangosi wakiendelea kulia machozi, hata mkuu wa kaya anadesa tu kusafiri dunia nzima akila kuku kwa mrija udikteta anaofanya kwenye nchi hii akumbuke yeye pia anawatoto hawajafika hata miaka kumi ka maana wana maisha marefu ya kuishi na doa analofanya baba yaoAcha kuota wewe, wapi umemsikia mwenyekiti wa madaktari akileta usumbufu baada ya kufanywa vibaya kule mabwepande? Zaidi zaidi Kibanda atakuwa na adabu ili hilo jicho lililobaki liendelee kuwepo..!
Una uhahkika na unayoyasema?
Na ile kampuni yake ya Caspian inayofanyafanya kazi kwenye migodi ya dhahabu kanda ya ziwa nayo iko Juba?
Kujitoa kwenye siasa za majukwaa haina maana kwamba ndo amejitoa siasa za Tanganyika, bado anahitaji sana kuendelea kudhibiti madaraka ya serikali ili kulinda mirija yake aliyowekeza Tanganyika.
.....simtetei mtu..lakini hapo kwenye red ..kunahitajika umakini mkubwa....bila hivyo nadhani upotoshaji utaweza kuwa mkubwa zaidi... ni wazo tu....Kuna watu wanataka kupotosha tukio la Kibanda
Jumapili, Machi 10, 2013 08:03 administrator
KUNA kila dalili ya baadhi ya watu fulani fulani kuanza kupotosha ukweli, kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Mhariri Mtendaji Mkuu wa New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda.
Sisi Mtanzania Jumapili, tumesikitishwa na kufedheheshwa na watu ambao kwa sababu zao binafsi, wanataka kupotosha juu ya kile alichofanyiwa Kibanda wakati ambapo vyombo mbalimbali vya uchunguzi vinaendelea kufanya kazi yake.
Juzi, mtu aliyejitambulisha kwa jina la Ridhiwani Kikwete, alitumia mtandao wa kijamii wa facebook, kutoa maneno yenye mwelekeo wa kishabiki na kejeli kuhusu kushambuliwa kwa Kibanda, akihoji kama naye amefanyiwa unyama huo na Ikulu?
Kauli hii ya Ridhiwani, kama Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, ni nzito na si ya kupuuza, hasa kwa wakati huu ambako vyombo vya dola vimetuaminisha kuwa vinafanya uchunguzi wenye nia ya kuwabaini na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wale wote waliohusika na tukio hilo.
Mtanzania wanajaribu kuungaunga stori...ukweli utabaki pale pale kuwa kibanda ameteswa na mwajiri wake wa zamani
...............Katika uchunguzi huo, pia tumebaini kuwa aina ya mateso ya kungoa watu kucha pia yamekuwa yakitumiwa na watu wa Usalama wa Taifa nchini Iran, ambako wao hutumia mashine kumnyofoa kucha............
Ni Kweli tumewaona watekaji wakitamba wakiwa wameachiwa ofisi na KOva Kwa mfano Ahmed Msangi pamoja na kutajwa na Dr Ulimboka,Ramadhani Ignodu Kutajwa na Dr Ulimboka wameongezwa vyeo,Kamhunda anakula bata kwa mrija pale pale Iringa huku mke na watoto wa Mwangosi wakiendelea kulia machozi, hata mkuu wa kaya anadesa tu kusafiri dunia nzima akila kuku kwa mrija udikteta anaofanya kwenye nchi hii akumbuke yeye pia anawatoto hawajafika hata miaka kumi ka maana wana maisha marefu ya kuishi na doa analofanya baba yao
Mkuu hao ni wale wale wanaojua ni kitu gani walifanya kwa hiyo wanakuja hapa ili kupindisha ukweli!!!! Wakati tukijadili ile thread ya kutekwa na kuumizwa kwake nilisema hivi "Adui yako mlete karibu ili ummalize kwa urahisi". Bado nasimamia maneno haya!!! Huwezi kuniambia kuwe leo hii nimekuandika kwa skendo kubwa za kifisadi withh evidence halafu eti nikuache!! Wahusika wana connect the dot!!! Kibanda pia ni mtu wa karibu sana na mwanamtandao wa Chama cha Mauaji na mtu huyo ni tishio kwa Rais ajaye!!!!! tulihofu ataendelea kumjenga kisiasa mtu huyo ili ifikapo 2015 aweze kuwa safi kwa Uhuru Kenyata!!!! Sasa tufanyeje kama si kummaliza!!! Ninaamini walijua wameshamuua!!! Kwa hakika ataendelea kuandika na kuandika na kuandika kwa jicho hilo hilo moja!!! Ila tu nimejifunza kuwa Uandishi wa Habari na Siasa ni hatari sana!! Ila kwa bahati mbaya ndivyo waandishi na wahariri wengi walivyo kwa Tanzania hasa inapokaribia uchaguzi!! Tuwe makini sana!! Jifunzeni toka uchaguzi wa Kenya uliopita walijirekebisha sana tofauti na 2007 ambapo walishabikia sana na mwishowe madhara waliyaona!!
Mtanzania wanajaribu kuungaunga stori...ukweli utabaki pale pale kuwa kibanda ameteswa na mwajiri wake wa zamani
Katika uchunguzi huo, pia tumebaini
kuwa aina ya mateso ya kungoa
watu kucha pia yamekuwa
yakitumiwa na watu wa Usalama wa
Taifa nchini Iran, ambako wao
hutumia mashine kumnyofoa kucha.
Wakati uchunguzi wa Mtanzania
Jumapili ukibaini hayo, kumekuwa
na hali ya hofu kwa jamii kuhusiana
na matukio ya utekaji na utesaji
kinyama yanayotekelezwa sasa kwa
baadhi ya watu maarufu hapa
nchini wanaotambulika kuwa na
misimamo inayokinzana na ile ya
serikali.
Mtanzania wanajaribu kuungaunga stori...ukweli utabaki pale pale kuwa kibanda ameteswa na mwajiri wake wa zamani
Kwa kawaida Majasusi ni kwa ajili ya watawala, mtawala akibadilika nao huhamia kwa mtawala mpya. Mtawala mpya akisema mteseni huyu , hata kama alikuwa mtawala Majasusi hawana maswali they have intuitive thinking.
Ikifika HAMPIGI KURATime will tell, 2015 si mbali
Komenti yako kama post ya rizkjakiKibanda amejiteka mwenyewe