Kibanda aliteswa na majasusi!

Kibanda aliteswa na majasusi!

Mtanzania wanajaribu kuungaunga stori...ukweli utabaki pale pale kuwa kibanda ameteswa na mwajiri wake wa zamani

Yaani kweli mtanzania ambalo ni gazeti la Kibanda liunganishe stori? Linasema ukweli!!!! Na ukweli ndiyo huo!! Kama kweli ingekuwa ni mwajiri wa zamani Mtanzania ni lazima lingeandika sana!!! Mtanzania ndilo la kuamini sana katika hii issue!! Habari ndiyo hiyo!! Kwani CDM wana uwezo wa kukomand intelligence ifanye kazi hiyo? Intelligence kwa kawaida inatumikia serikali iliyo madarakani kama ilivyo nchi zote duniani!! Leo hii intelligence ya Amerika iko kwa Domocrats, wakati Rais akiwa Republican nayo itaitumikia Republican!!
 
Haya sasa wale "wanafiki" waliokuwa wakizusha upuuzi wao kuhusu mwajiri wake wa awali, watafakari taarifa hii!.
mwajiri wake wa zamani si nasikia ni mwanasiasa na chama chao kina tawi la intelligency,ni wataalamu wa kuhack mawasiliano na mbinu kadhaa za kijasusi.
 
Acha kuota wewe, wapi umemsikia mwenyekiti wa madaktari akileta usumbufu baada ya kufanywa vibaya kule mabwepande? Zaidi zaidi Kibanda atakuwa na adabu ili hilo jicho lililobaki liendelee kuwepo..!
Dah kweli wewe ni kiboko na ninaamini kweli mmemfanyia kweli!! Iko hadharani sasa!! Kwa hakika akitoka ndiyo atakuwa mstari wa mbeli kwa kutumia kalamu yake!! Andika siku ya leo halafu uje ulinganishe na ninachosema!! Kibanda ataandika makala ya kufa mtu kuhusu tukio na ataendelea kuandika uozo wenu wa kubaka demokrasia!! Kwa nini mnamuogopa mwenzenu mtandao ule wa pili? Na atawakomesha maana SSM wengi wanampenda!!
 
Wakipelekwa US kufundishwa mbinu za kupambana na ugaidi tunafurahia kwani magaidi ni waislamu sasa mafunzo hayo ndivo yanavotumika dhidi ya raia

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Yaani kweli mtanzania ambalo ni gazeti la Kibanda liunganishe stori? Linasema ukweli!!!! Na ukweli ndiyo huo!! Kama kweli ingekuwa ni mwajiri wa zamani Mtanzania ni lazima lingeandika sana!!! Mtanzania ndilo la kuamini sana katika hii issue!! Habari ndiyo hiyo!! Kwani CDM wana uwezo wa kukomand intelligence ifanye kazi hiyo? Intelligence kwa kawaida inatumikia serikali iliyo madarakani kama ilivyo nchi zote duniani!! Leo hii intelligence ya Amerika iko kwa Domocrats, wakati Rais akiwa Republican nayo itaitumikia Republican!!
si lazima iwe hivo,kumbuka Bush senior akiwa mkurugenzi wa CIA miaka ya sabini ,alipokuwa rais Jimmy carter wa democratic alimwondoa bush madarakani 1976,bush alikua anapendwa na wana CIA wengi,cia ikamegeka mapande mawili na bush akaanza kampeni za chinichine ili carter asishinde uchaguzi awamu ya pili.wakati carter akimuunga mkono SHAH wa irani,CIA wa mtandao wa bush walipanga kumpiga chini so walimsupport Khomein mpaka akaingia madarakani.walichochea iran ikavamia ubalozi wa marekan na kukamata mateka wamarekani.juhudi za jimmy carter kutuma commandoo kuwaokoa (operation eagle claw)zikahujumiwa na CIA.Zilifail hiyo ilichangia jimmy carter kushindwa na Ronald Reagan katika uchaguzi uliofuata na George Bush akawa vice presdent.1980.kabla ya hapo jimmy carter baada ya kugudua hujuma hizo akawafuta kazi CIA 800 hapo mwaka 1979.
 
Acha kuota wewe, wapi umemsikia mwenyekiti wa madaktari akileta usumbufu baada ya kufanywa vibaya kule mabwepande? Zaidi zaidi Kibanda atakuwa na adabu ili hilo jicho lililobaki liendelee kuwepo..!
Unasemaje?
 
ni kituko kama huyo mwandishi yuko very low kiasi hicho na hata huyo mhariri wa gazeti hilo. utarelay vipi kwenye mitandao ya kijamii? hafikirii hata yeye anaweza akasign up kama Ridhiwani Kikwete na kuupload na picha yake kabisa kuonyesha msisitizo na kutuma comment yoyote anayoitaka? kweli tunawandishi njaa na sio waandishi wa habari. du, pole.
ndo maana siku hizi sinunuagi magazeti. upuuzi mtupu.
 
Wakipelekwa US kufundishwa mbinu za kupambana na ugaidi tunafurahia kwani magaidi ni waislamu sasa mafunzo hayo ndivo yanavotumika dhidi ya raia

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Masuala ya uislamu na ukristu hayahusiki hapa, ishia hapohapo.
 
si lazima iwe hivo,kumbuka Bush senior akiwa mkurugenzi wa CIA miaka ya sabini ,alipokuwa rais Jimmy carter wa democratic alimwondoa bush madarakani 1976,bush alikua anapendwa na wana CIA wengi,cia ikamegeka mapande mawili na bush akaanza kampeni za chinichine ili carter asishinde uchaguzi awamu ya pili.wakati carter akimuunga mkono SHAH wa irani,CIA wa mtandao wa bush walipanga kumpiga chini so walimsupport Khomein mpaka akaingia madarakani.walichochea iran ikavamia ubalozi wa marekan na kukamata mateka wamarekani.juhudi za jimmy carter kutuma commandoo kuwaokoa (operation eagle claw)zikahujumiwa na CIA.Zilifail hiyo ilichangia jimmy carter kushindwa na Ronald Reagan katika uchaguzi uliofuata na George Bush akawa vice presdent.1980.kabla ya hapo jimmy carter baada ya kugudua hujuma hizo akawafuta kazi CIA 800 hapo mwaka 1979.
Ni sawa mkuu ila ni kwa nadra sana. Majority huwa wanatumikia chama kilicho madarakani. Na ukiona wamemegeka basi jua kuna issue kubwa!! Dah ningeomba hawa wakwetu wamegeke ili waipige SSM chini? Hivi huko UWT ya Tanzania hakuna wanaopenda upinzani? Hawajachoshwa na porojo? Nataka ikatike mapande makubwa mawili!
 
Nimeshangaa sana kwa gazeti la mtanzania kuandika makala km hii, na hili la kibanda liwe funzo hata kwa waandishi wengine kufichua uovu wote unaofanywa na serikali bila woga. Gazeti la mtanzania mwanzoni lilikuwa ni moja ya magazeti yaliyokuwa yanaitetea serikali na kuifichia maovu yaliyokuwa yanatendwa ila naona limeanza kubadilika baada ya mhariri wake kujeruhiwa

Na si muda mrefu litafungiwa na lenyewe, ila uzuri ni kwamba wamejua kuwa "system huwa haina rafiki" na kama mnafikiri natania ziulizeni zile nchi zilizokuwa vibaraka wa marekani nini kimewapata baada ya kuasi
 
serikal hii bora uende uraya kufanya kaz za ndan vnginevyo 2015, 2fanye change(CHADEMA)
 
Nyie mnaeshabikia ccm hayo n maandalizi tosha ya kuitawala nchi kimabavu baada ya kushindikana kwa demokrasia na kumbikeni huu ni mwanzo tu,mtu bila kuona aibu mnaenda kumpa pole

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dah kweli wewe ni kiboko na ninaamini kweli mmemfanyia kweli!! Iko hadharani sasa!! Kwa hakika akitoka ndiyo atakuwa mstari wa mbeli kwa kutumia kalamu yake!! Andika siku ya leo halafu uje ulinganishe na ninachosema!! Kibanda ataandika makala ya kufa mtu kuhusu tukio na ataendelea kuandika uozo wenu wa kubaka demokrasia!! Kwa nini mnamuogopa mwenzenu mtandao ule wa pili? Na atawakomesha maana SSM wengi wanampenda!!

tangu lini magazeti ya new habari corporation yakawa na makala hatarishi kwa serikali? alimponda rostam, zen akahamia kwake na kuanza kumlamba miguu, usicheze na mwenye fedha weye,
 
Account iliyotumika ndo hiyo ambayo Riz1 hutumia kutoa matamko yake!!ndio alitumia kumtaka Mnyika aeleze elimu yake na ndo alitumia kukubali bandiko la elimu ya Mnyika!Account hiyo ndo alitumia kukanusha ile kampuni ya Mikopo ya kitapeli si yake!!Leo amemtuma mchumia tumbo Cyprian Msiba kupita mitandaon na kukanusha eti account imekuwa hacked!Moto ameuwasha...na Bashe kaukamata!si mda HK ataibuka kumtetea RK
 
Tangulini uso wa mnafiki ukaona aibu?
Nyie mnaeshabikia ccm hayo n maandalizi tosha ya kuitawala nchi kimabavu baada ya kushindikana kwa demokrasia na kumbikeni huu ni mwanzo tu,mtu bila kuona aibu mnaenda kumpa pole

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
tangu lini magazeti ya new habari corporation yakawa na makala hatarishi kwa serikali? alimponda rostam, zen akahamia kwake na kuanza kumlamba miguu, usicheze na mwenye fedha weye,

Kweli haijawa na makala hatarishi kwa serikali ila inapigia debe kundi lingine!! Mungu akituacha hai utaona vumbi la 2015 kama itapigia debe serikali basi ni serikali ya mtandao upi???? Bashe na Kibanda wamekuwa Habari Corporation kwa kazi moja kubw 2015!!! Watakuwa wanachuana na Habari Leo, Daily News, Uhuru na Mzalendo (kama lipo) na yale mengine yatakayokuwa yanajitokeza tu wakati wa uchaguzi!!! Siasa ni media!!! Itakuweka juu au itakuangusha chini!!! Kwa taarifa yako ndoa ya New Habari Corporation na serikali ilikufa na mwenye kampuni alisema wazi hataki siasa za majia taka tena!! He is not longer interested na Tanzania yenu!! ana tenda kubwa sana ya kujenga oil pipe line from Juba to one of East Africa Countries!!! Wewe subiri 2015 uone sulubisho la serikali ya awamu ya nne na mtu atakayekuwa swahiba wa huyu aliye madarakani!!
 
ni kituko kama huyo mwandishi yuko very low kiasi hicho na hata huyo mhariri wa gazeti hilo. utarelay vipi kwenye mitandao ya kijamii? hafikirii hata yeye anaweza akasign up kama Ridhiwani Kikwete na kuupload na picha yake kabisa kuonyesha msisitizo na kutuma comment yoyote anayoitaka? kweli tunawandishi njaa na sio waandishi wa habari. du, pole.
ndo maana siku hizi sinunuagi magazeti. upuuzi mtupu.

Ni frustration hasa baada ya mambo haya kutokea na kujirudiarudia bila hatua za kuonekana kuchukuliwa. Nafikiri Mtanzania hawakuandika hivi ilipotokea kwa Yule kiongozi wa madaktari - Ulimboka alipotekwa na kuteswa, lakini sasa wameguswa na frustration zao zinaeleweka. Hii haina tofauti na Serkali au Polisi inapoahidi kuchunguza na kuwakamata wahusika lakini haifanyi hivyo, matokeo yake watu wanajenga dhana kuwa nao ni washiriki wa maovu hayo.
 
Back
Top Bottom