Mtu yeyote anaeshabikia uovu nae ni mwovu. na adhabu yake ni hapahapa duniani
Ni frustration hasa baada
ya mambo haya kutokea na kujirudiarudia bila hatua za kuonekana
kuchukuliwa. Nafikiri Mtanzania hawakuandika hivi ilipotokea kwa Yule
kiongozi wa madaktari - Ulimboka alipotekwa na kuteswa, lakini sasa
wameguswa na frustration zao zinaeleweka. Hii haina tofauti na Serkali
au Polisi inapoahidi kuchunguza na kuwakamata wahusika lakini haifanyi
hivyo, matokeo yake watu wanajenga dhana kuwa nao ni washiriki wa maovu
hayo.