Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,097
- 43,309
Hivi kibanda amejua serikali inanyanyasa waandishi baada ya yeye kunyanyaswa?
Hivi kibanda amejua serikali inanyanyasa waandishi baada ya yeye kunyanyaswa?
Hivi akisema MKJJ ndipo maswali yanakuwa ya msingi, hata yeye ukimuuliza maoni yake juu ya uongozi wa Kikwete ni tofauti na ya 2005.Uliza wewe wengine tukiuliza tunaambiwa maswali yetu si ya msingi!
Hivi kibanda amejua serikali inanyanyasa waandishi baada ya yeye kunyanyaswa?
Maswali mengine hayana msingi mambo huenda kwa wakati ukiwauliza wananchi kwa nini mwaka 2005 walimchagua Kikwete wengi watasema wangejua....sasa wamejua na Kibanda leo kajua simple.
Haya ndiyo masuala ya msingi, investors wakija hawaangalii tumevaaje wanaangalia potential ya nchi kwenye grobal market, haya mambo ya kuonyeshana vichupi wangemwachia Lundenga.Lets be GT's!
Hivi, we as Tanzanians, do we real need to be identified by our dresses? What is the necessity of National dress to us (hasa kwa watz wa kawaida)? Do we real need it? Suppose we get it from the choosen commitee, can we afford it? Will it reflect us? Are going to be proud of it? Are we going to find it at every family? Au zitakuwa za wakubwa tu? Is it possible to have a common dress to all Tzns out of 120 tribes?
If answers for all these are no,and he didnt think about this, then Kibanda is very wrong. Thats my opinion..
Hivi kibanda amejua serikali inanyanyasa waandishi baada ya yeye kunyanyaswa?
Heshima mbele sana mkuu,
Kwenye hiyo kamati wanahabari wamejazana.
Mwenyekiti wa kamati ni Joseph, mmiliki wa vituo vya radio, tv na magazeti.....mkuu ana maana yake hapa.
Hivi akisema MKJJ ndipo maswali yanakuwa ya msingi, hata yeye ukimuuliza maoni yake juu ya uongozi wa Kikwete ni tofauti na ya 2005.
Mimi naungana na Kibanda it is nonsense sasa kuanza kujadili mwananchi avaeje wakati hajui mlo wake wakesho achilia mbali hiyo hela ya kununua hilo vazi la sherehe, labda waniambie hilo nalo limo kwenye mchakato wa katiba. Mimi ni mmasai bwana haya mambo yakulazimisha suti siyawezi huwa natinga ulaya na lubega na wazungu wana admire vile vile.Nadhani Kibanda aligundua mapema hili zoezi la mavazi ni la kipuuzi lakini kwa sababu anazozijua akashindwa kumkatalia Nchimbi. Haya manyanyaso naweza kusema ni zawada toka kwa father x'mas maana yamempa yeye Kibanda fursa ya kujitoa kwenye hili tope la Nchimbi. Vyovyote vile, heri nusu shari kuliko shari kamili.
Wanasiasa wa Tanzania wanakataza wananchi wa kawaida lukadili katiba mpya bila wao au mwakilishi wao (i.e wakuu wa mikoa) kuwepo, na sasa wanasiasa hawa hawa wanakataka kutumbua tuvae nini!
Nchimbi angefanya jambo la maana kama angesimamia zoezi la kuondoa sheria kandamizi kuhusu media.
Stop being a coward.Stop being so literal.
Stop being a coward.
Hivi kibanda amejua serikali inanyanyasa waandishi baada ya yeye kunyanyaswa?
Kibanda ana ndoto zake za mchana Dr Slaa, akiwa rais atakuwa msemaji wa Ikulu!
Hivi huo unyanyaswaji wa waandishi wa habari na serikali umeanza yeye Kibanda alipokamatwa au upo muda mrefu?
Manake kama upo muda mrefu na yeye alipoteuliwa kuwa mmoja wa wanakamati kwa nini hakukataa kwa kutumia sababu hiyo hiyo aliyoitoa sasa?