Kibaki atunukiwa degree ya heshima kwa kuleta amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibaki atunukiwa degree ya heshima kwa kuleta amani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Prince, Oct 17, 2008.

 1. P

  Prince Member

  #1
  Oct 17, 2008
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika taarifa ya habari ya leo usiku ya TBC1, kulikuwa na habari ya University of Nairobi kumtunukia Raisi Kibaki degree ya heshima kwa kuleta amani kufuatia machafuko baada ya uchaguzi mkuu wa dec 27 2007.

  inakuingia akilini hii?
   
 2. P

  Prince Member

  #2
  Oct 17, 2008
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uon fetes Kibaki, Raila and Annan
  Written By:Zipporah Njeri , Posted: Fri, Oct 17, 2008


  The University of Nairobi on Friday awarded honorary doctorate degrees to President Mwai Kibaki, Prime Minister Raila Odinga and former United Nations boss Kofi Annan for their role in restoring peace in the country after the post election violence.

  They received the honors during the University's 39th graduation ceremony presided over by the Chancellor, Dr Joe Wanjui.

  President Kibaki paid tribute to Raila Odinga for putting personal interest aside for the sake of the country and the peace accord.

  He also thanked Annan for his stewardship in the peace process.

  The president urged Kenyans to dedicate themselves to national reconciliation.

  The PM said, "We stared into an abyss of horror and we did not like what we saw. We as leaders knew we had to make some very difficult decisions. President Kibaki, Dr Annan and I are today being honoured for our roles in accepting those challenges, in making those difficult decisions, and in putting the nation first".

  Kibaki and Raila agreed on forming a grand coalition government early this year following the post-election violence after the December 2007 polls which left thousands dead .

  Former UN boss Koffi Annan brokered the deal.

  This is the second doctorate award for President Kibaki this year after receiving a Degree of Doctor of Science from Masinde Muliro University in July, "for his sterling academic achievements, distinguished services and resolve to re-engineer Kenya's economy and society."

  The Head of State had received another honorary Economics degree from University of Nairobi in 2004.
   
 3. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwi kwi kwi kwi!!!! Miafrika ndivyo ilivyo, mijinga!
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hiyo tuzo angepewa Anan peke yake. Kibaki ndiye aliyekuwa mchochezi wa vurugu zilizotokea baada ya Desemba 27.
   
 5. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2008
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ahsante Mtanzania! Umenichekesha sana. Miafrika bwana.......

  Kibaki angetunukiwa hiyo heshima kama angeepusha au kuzuia mauaji. yeye kasababisha mauaji kwa kuiba kura halafu akalazimishwa kutia saini mkataba wa kuleta amani sasa hapo mijitu inajipanga kumpongeza....Miafrika jamani kwi kwi kwi....
   
 6. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  wakuu wa chuo kikuu cha nairobi wameendelea kujikomba kwa kibaki, na hii ndo tabia ya kiafrika, raila alistahili kwa kuwa alikubali kukubali kuachia urais wake kwa mwizi wa kura, kibaka kibaki.

  hata hivyo kuna haja ya kuendelea kujiuliza upya kuhusu hizi honoraria causa degree, je ni kweli wanaopewa wana mchango wa kutukuka katika jamii? akina dr mzindakaya? dr ana mkapa? dr getrude lwakatare? na wengine wengi. tukikaa kimya utaskika dr lowasa. dr rostam aziz, dr mramba, dr nazir karamagi, dr of dr nchimbi, dr makamba, dr hiza tambwe, dr mrema, dr mbatia, dr mtikila, dr kyara etc
   
 7. K

  Kakulwa Senior Member

  #7
  Oct 18, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona Ben na Graca hawakupewa?
   
 8. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #8
  Oct 18, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha,yaani mwizi anaweza hata kutunukiwa degree ya ustaarabu? Hat kama ni kujikomba,hii imevuka mpaka.Chuo hicho kinazidi kujishushia heshima.Sasa ni nani aliyesababisha amani kuvurugika?

  Yaani,si kwamba ni dongo au siasa lakini hili suala limenikumbusha usanii wa CCM na aibu yao ya kutumia kauli kama "Tutafufua uchumi" ,kauli inatumika hata mbele ya wasomi na bado wanashangilia bila kujiuliza hadi CCM wafufue uchumi ni nani aliyeua uchumi hapo kabla?

  sasa leo ni kituko cha Kibaki
   
 9. Nungunungu

  Nungunungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2008
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yuko wapi Nyani Ngabu ajionee mambo haya ya ajabu ya sisi wa Afrika!
   
Loading...