Kibaka na mchina.

huyo kibaka sijui alikuwa wakuRead, sipati picha huo mtama wa mchina atakaompiga huyu kibaka
 
Na huyo kibaka wala asisimame, wachina hawana mchezo wa mbali na karate na judo anaeza mvunja kiuno
 
we ungekuwa china halafu kibaka atokee halafu uanze kumkimbiza,akajichanganya tu na wenzake sijui utamgunduaje

Halafu na wachina wenyewe wakiwa kwao wanaambiana watu weusi wote wanafanana lakini wakija wakijichanganya wanatutofautisha so km ngingekuwa China then nikatokewa na kibaka ningemjua tu whats so ever.

Utoto tulikuwa tunaambiana mkicheza mechi na Wachina wakiende mapumziko wakirudi kipindi cha pili wacheza wote wamebalisha halafu hamjui.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
Back
Top Bottom