Kibaka na mchina.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Mchina alipigwa mtama na kibaka na kuporwa simu,mchina akaanza kumfukuzia kibaka wake,kibaka alipoona haichwi akaweka simu chini halafu akaendelea na mbio,mchina akachukua simu yake na kuendelea kumfukuzia kibaka,kibaka alipoona hali ngumu akamwambia mchina,simu yako nimekupa nini tena unataka!
mchina akamwambia bado sijakupiga MTAMA.
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
asante kwa kurudi bby
 
Back
Top Bottom