Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,045
wewe ni mtu muhimu sana utalisaidia jeshi la Polisi kutoa taarifa.
Kwa polisi Gani!!!?
wewe ni mtu muhimu sana utalisaidia jeshi la Polisi kutoa taarifa.
Kwa polisi Gani!!!?
ujumbe huu haukuhusu ndiyo maana umeshindwa hata kuuelewa.
Anakitambulisho cha nit anadai alikuja kujisomea ika semister ilopita alipigwa pia kwa wizi akaokolewa
Huwa anakutwa katika mazingira gani??!!!
Last tym alikamatwa kaibA
wewe ni mtu muhimu sana utalisaidia jeshi la Polisi kutoa taarifa.
Aisee hapo DIT kunakuaga na wezi wanaingiaga kuiba dah ni nouma then mnaweza mkashangaa ni uyo uyo mmoja anakuja anaiba anasepa nakumbuka miaka fulani alishawahi uliwa mwizi hapo hapo then wakaenda mtupa kule mnazi mmoja..alafu balaa lilikua miaka ya 2008 kuja nyuma ukiwa unarudi DIT usiku ukitokea fire mmmh aisee mateja wote wa kariakoo uwa wanakuja kutega hiyo njia. Msishangae kuna vibaka uwa wanaingia sana tu hapo DIT tangu enzi hizo
We nae ndo wale wale ungejua jinsi wanavoibiwa pc na vitu vingine usingesema
Ndani ya week zimezimeibiwacm na tablets zaidi ya kumi na moja
kwa hiyo mmepewa kibali cha kutoa uhai wa mtu?
Ndiyo maana hapo awali nikatangulia kusema utalisaidia Jeshi la Polisi maana inaelekea mshatoa roho za watu wengi kwa sababu mnazozijua nyie wenyewe.
Wananchi hawana imani na mahakama.... Ni Wakati wa mahakama kujiangalia tatizo nini.