Kibaka auliwa DIT akiiba

Kibaka auliwa DIT akiiba

hao jamaa wapo weng,juz kuna jamaa kachezea kichapo hap bibo hostel mpk auxiliary wakaja kumuokoa
 
dunian hamna haki. TIBAIJUKA na 1.6 bilion anadunda, kibaka wa nguo na simu anauwawa
 
Jumamosi chumba kimoja zimeibwa lap top 3 na juma tano lap top 1 na cm

laptop kitu gani wewe.....acheni kuua watu kwa material things hizo roho ya mtu huiwezi kulinganisha na hizo laptop zenu...sasa kama wasomi mna behave hivyo wengine huku mtaani wasiosoma watakuwaje???
 
Wewe hujielewi kweli imagine umeibiwa laptop ina project nzima na mda wa kukabidhi umefika unafanyaje kama sio kurudia mwaka
 
Wapumbavu tu hao.., kwanza walete ushahidi hapa kwamba aliiba.., kwanza inaonekana huyo alikuwa anakung'uta dem wa huyu jamaa ndio ameamua kumuua kwa kisasi af anadai mwizi.., shenz kabisa!
 
Wewe hujielewi kweli imagine umeibiwa laptop ina project nzima na mda wa kukabidhi umefika unafanyaje kama sio kurudia mwaka
Dhibitisha kwamba aliiba.., either way hukumu ya kuiba ni kifungo jela.., ilipaswa mumfikishe mikononi mwa dola.., shenzi nyie..!!!
 
Eti wasomi haaa helaaa zinakufanya wakuone msomii kwani ukienda unabandika cheti kifuaniii??huyoo wamemuuzia boom tuuu wala sio kibakaa..na inaoneshaa alivaaa pambaaa kaliii..mbonaa wamemvuaaa ?
Nasema hivi..! waliomuua walaaniwe wote mpaka kizazi cha saba! shenzi kabisa.., leteni ushahidi kama aliiba..., na wewe mleta mada kama ulishiriki dora itakufikia..!! shenzi..!!
 
Vibaka kama hawa adhabu yao ni kifo tu,haiwezekan mtu umejinyima umepata laptop,ipad au hta simu mtu anakwapua!!kwanini asiende huko kwa waliobeba hela kwnye sandarus aje kwa mi maskin kama yeye!hii ndo dawa yao!!
Mbuzi mkubwa wewe..! au alikuibia demu wako??!!! mnabambikia watu wiz.., leteni ushaidi kwamba aliiba.., besides alitakiwe afikishwe mikononi mwa dora kuku nyie..! shenzi..!!!
 
Mbuzi mkubwa wewe..! au alikuibia demu wako??!!! mnabambikia watu wiz.., leteni ushaidi kwamba aliiba.., besides alitakiwe afikishwe mikononi mwa dora kuku nyie..! shenzi..!!!

Alishaiba semister ya kwanza akapelekwa polisi akatokewa kaiba tena tumPeleke polisi tena kufanyaje
 
Nasema hivi..! waliomuua walaaniwe wote mpaka kizazi cha saba! shenzi kabisa.., leteni ushahidi kama aliiba..., na wewe mleta mada kama ulishiriki dora itakufikia..!! shenzi..!!

Huyu wa pili anauliwa ndani ya mwezi huu hata akija mwingine hTutajali anaundugu na nani atafata njia ya wenzake

Unataka ushahidi we ni mahakama au we ni nani
 
So what

Kama naeka back up bado ukiniibia unanurudisha nyuma

Shem on u unatetea wezi

Kijana inaonekana Na wewe umeshiriki Kumuua huyo kijana sasa tutafanya uchunguzi tukishirikiana na tcra tukukamate ili ulisaidie jeshi la polisi.
 
Kijana inaonekana Na wewe umeshiriki Kumuua huyo kijana sasa tutafanya uchunguzi tukishirikiana na tcra tukukamate ili ulisaidie jeshi la polisi.

Nambie nikuoe namba angu kabisa
 
Wasomi ndio watu wakwanza kuvunja sheria sasa sijui watu wa naminywili nao wafanya nini? Kitendo walichokifanya wana DarTech si cha uungwana hata kidogo.
 
Back
Top Bottom