Vibaka kama hawa adhabu yao ni kifo tu,haiwezekan mtu umejinyima umepata laptop,ipad au hta simu mtu anakwapua!!kwanini asiende huko kwa waliobeba hela kwnye sandarus aje kwa mi maskin kama yeye!hii ndo dawa yao!!Ningewaona wa maana kama wangeanza na jamaa wa escrow watu wanakwapua hela na magunia ya rumbesa hamna chochote unachosikia kutoka kwa wasomi wa Tanzania. Mbaya zaidi unasikia vichefu chefu vinavyojiita wasomi vikiitisha vikao na kutetea ujambazi mkubwa kama huu.
Huyu kijana hawajamtendea haki kabisa kwa sababu haya yote yanasababishwa na hawa majambazi ya rumbesa kusababisha hali mbaya ya kiuchumi kama kama kwa huyu kijana. Si wahukumu ila Mungu mwenyewe ndiye mtoa hukumu.
Wafuateni basi na wa escrow tujue mna hasira.
Mama Mdogo MAPENZI ni kitu kingine kabisa, na ukifumaniwa huwezi tamka neno lolote unanyweaPlease, wale wasichana pale ni wasomi; itakuwaje mmojwao awe na boy friend wa kuja kumtembelea akiwa amevaa bukta (mhuni wa barabarani). In conclusion, aliyeuawaa ni kibaka kajichanganya plan, full stop.
Ni wivu wa Mapenzi Dada UdaAlichoiba hakionekani na aliyemvua nguo ni nani?
Jumamosi chumba kimoja zimeibwa lap top 3 na juma tano lap top 1 na cm
Anakitambulisho cha nit anadai alikuja kujisomea ika semister ilopita alipigwa pia kwa wizi akaokolewa
Sisi tunaoishi dit ndo tunajua masahibu tuyapatayo na sii mara ya kwanza huyu mtu kukamatwa dit
Mbona hafananii na vibaka? Huyu itakuwa ni issue za madem zimempeleka chuoni pengine akashindwa kujieleza basi akauwawa!
Mbona hafananii na vibaka? Huyu itakuwa ni issue za madem zimempeleka chuoni pengine akashindwa kujieleza basi akauwawa!
Hata yako tunaitaka sana
Mainjinia hatulei wezi na vibaka nawe uje kuiba
Please, wale wasichana pale ni wasomi; itakuwaje mmojwao awe na boy friend wa kuja kumtembelea akiwa amevaa bukta (mhuni wa barabarani). In conclusion, aliyeuawaa ni kibaka kajichanganya plan, full stop.
Mbona hafananii na vibaka? Huyu itakuwa ni issue za madem zimempeleka chuoni pengine akashindwa kujieleza basi akauwawa!
Wananchi hawana imani na mahakama.... Ni Wakati wa mahakama kujiangalia tatizo nini.
Saa kumbe wizi unasura??? Wanakera hao Watu, huwezi kujua hiyo kero mpaka uibiwe
Kapigw na nguo kavuliwa