babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
Kijana wa kati ya miaka 25 hadi 28 auawa na wanafunzi wa DIT baada ya kukamatwa akiiba alfajiri ya kuamkia leo. Kumekuwa na matukio mengi ya wanafunzi kuibiwa laptop SIM tablets pamoja na nguo. Mwili wa mwizi huyo upo barabarani kati ya uzio wa DIT na Regency hospital.