Kibaka akiwa hoi Kigamboni

umempiga picha mlevi wewe
 
Huyo mi naona kama ni mlevi kalala au muokota makopo na chupa za plastiki amejipumzisha.
 
Duniani kuna watu wana stress zao, wanajilalia popote wanapoona panafaa. Mleta mada wacha kupiga watu picha hovyo
 
Hapoo umetuongopea mkuu kibaka gani hana hata alama ya fimbo au damu mmmmhhh au kamwibia sharobaro wale wa kamata mwizii men kamata mwizii meen huku kashika suruali krb na dushe

Uso wote ulijaa damu mpaka masikio yalikuwa yanavuja damu suruali ilijaa kinyesi kwa kipigo, kweli binadamu ana roho ngumu kama paka tulijua kafa kumbe bado
 
naona picha imetafutiwa maneno
 
Mbona hapo nyuma kaloana kimemsibu nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…