aisee kitambo sana hivi huyu mama bado anaimba? amenikumbusha mbali kweli enzi hizo kwenye shughuli watu hawawezi kukuelewa bila kucheza ngoma za southSafi kijana anazidi kujitanua kimataifa naisubiri ngoma yake na Vyonne chakachaka najua itakuwa poa
Hizo habari umezitoa madale bar au?Mtumie akili haend kufanya show anafanya media tour.bado management yake haijafikia uwezo huo kwa sasa
We ndo hujaelewa kitu.Umesoma tangazo vizuri au umedakia
Kando kando ya Lamu, karibu na taveta!Rudi usingizini.
ukiamka tena utuambie South Africa ndio upande gani pale mombasa.
kwa ushahid zaid waulize wasanii wa kongo au watanzania wanaoenda kongo mara nyingi, wanasema hakuna msanii wa Tanzania anependeka konho kama alikiba na kuna wadhamin ambao wapo tayr kumpeleka alikiba kule maana inaaminika show akifanya kule lazima ufanyike kwenye stadium. sema kwa upande wa alikiba anapenda shows kubwa za hivyo ziandaliwe na management yake. subir mwambie asubur tour ianze atajionea mwenyewHuko Kongo unakokusema anapendwa kuliko hata rais Kabila
inaonekana kuna sentensi ya kiingereza imempita kapaThe Tour is around the World and he is starting with S/A
Umenene mkuuKitu alichokosea kiba ni kujifananisha na Simba..Leo hata afanye nini atachukiwa Nchi nzima. Kuna watu hawaendi show zake. Strategy ya kujifanisha na simba imemcost kibakuli..
Umenena Mkuu
Kama ya Dodomakwa ushahid zaid waulize wasanii wa kongo au watanzania wanaoenda kongo mara nyingi, wanasema hakuna msanii wa Tanzania anependeka konho kama alikiba na kuna wadhamin ambao wapo tayr kumpeleka alikiba kule maana inaaminika show akifanya kule lazima ufanyike kwenye stadium. sema kwa upande wa alikiba anapenda shows kubwa za hivyo ziandaliwe na management yake. subir mwambie asubur tour ianze atajionea mwenyew
Bado anaimba mkuu!aisee kitambo sana hivi huyu mama bado anaimba? amenikumbusha mbali kweli enzi hizo kwenye shughuli watu hawawezi kukuelewa bila kucheza ngoma za south
ha haaa haaa nimejaribu kumalizia neno lililobaki hapo,nimeishia kucheka tu ......lol
Sijui ulikua unafikiria nini