kakuruvi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2009 Posts 770 Reaction score 259 Jun 21, 2012 #1 hiki kiatu natinga nacho club najua nitacheza peke yangu sitaki bugudha la sivyo nawachoma. Attachments boot.jpg 31.4 KB · Views: 551
Riwa Platinum Member Joined Oct 11, 2007 Posts 2,607 Reaction score 3,083 Jun 21, 2012 #3 Hivi viatu poa sana kwenye daladala...maana kuna watu hao huwa hawasikii raha bila kukanyaga wenzao especially ukiwa umeng'arisha kiwi yako kiatu kinawaka!
Hivi viatu poa sana kwenye daladala...maana kuna watu hao huwa hawasikii raha bila kukanyaga wenzao especially ukiwa umeng'arisha kiwi yako kiatu kinawaka!
SILENT WHISPER JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 2,209 Reaction score 824 Jun 21, 2012 #4 utakivalia wapi sasa..?
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,303 Jun 21, 2012 #5 Wewe tinga na hivyo mimi natinga na hivi!
Badu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 407 Reaction score 106 Jun 21, 2012 #6 Ndallo said: Wewe tinga na hivyo mimi natinga na hivi! Click to expand... hivyo noma mzaz
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Jun 21, 2012 #7 duh hivyo viatu... hiyo inaitwa sitaki shari ... a.k.a usinisogelee..!!
kakuruvi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2009 Posts 770 Reaction score 259 Jun 21, 2012 Thread starter #8 una F ya Maarifa darasa la saba wewe!
kakuruvi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2009 Posts 770 Reaction score 259 Jun 21, 2012 Thread starter #9 Wonderkid said: So what ? Click to expand... una F ya Maarifa darasa la saba wewe!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Jun 21, 2012 #10 kakuruvi said: una F ya Maarifa darasa la saba wewe! Click to expand... Umemueleza vema,kamungu
kakuruvi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2009 Posts 770 Reaction score 259 Jun 22, 2012 Thread starter #11 SILENT WHISPER said: utakivalia wapi sasa..? Click to expand... si nimesema club!