naomba sentesi yako ndiyo ikueleze kwamba chadema wanahusika.kwa ushahidi wa dk aliyempeleka hemed msangi kumuhoji ULIMBOKA amethibitisha kuwa hakuna sehemu yeyote aliyosema arudishiwe pochi yake na simu yake sikiliza radio clouds na channel ten walimuhoji hemed msangi na dokta aliye msindikiza hemedi msangi na wakati anahojiwa na uyo docta alikuwepo
hakuna chochote tatizo la chadema wameshaona wamekwama kwenye mgomo kuiangusha serikali na wakaamu kumteka
hakuna chochote tatizo la chadema wameshaona wamekwama kwenye mgomo kuiangusha serikali na wakaamu kumteka
Mwakyembe alisema yote na vielelezo kibao na mataarifa mengi kila kona. na pia ni magamba lakini bado walimfanyia tuliyoyaona. Itakuwa CDM, drs au sijui nani>>>>!!!!! hii serikali inaelekea kusiko na hizi ndo dalili hivyo stay tunedLeo viongozi waandamizi wa chadema Dr Slaa,Mnyika,Mbowe na Lema wametangaza kufuatiliwa kwa madhumuni ya kuuwawa na wanaoamiwa kuwa ni usalama wa Taifa kwa madai wako nyuma ya mgomo wa madaktari.Kama wameweza kwa viongozi hawa basi ni dhahiri serikali ilitumia mbinu hii hii kumwondosha duniani dr Ulimboka ila Mungu kamwokoa.WANAJARIBU KUZUIA UPEPO KWA VIGANJA VYA MKONO.