Kiashiria kingine cha uhusika wa serikali mateso ya dk ulimboka

Jamani lazima tuwang'oe hawa jamaa ni marafi kama mchwa koko.kama mtataka vita tupo tayri kuchoma magari yenu nyumba zenu zote za kifahari.tuige mfano wa syria tuwe ngangari mpaka kieleweke.utaua wangapi?.jamani hivi polisi wapo wangapi,wanajeshi wapo wangapi?tujigawe askari mmoja watu 5.tutawaamaliza dakika tano tuuuuuuu.
 
We sijui mchaga wa wapi......sijawapi kuona mchaga kilaza na pimbi kama wewe ! kama kweli ni Mangi.
 
Ccm wameshindwa hata bungeni ni kama watoto wa darasa la pili,vichwani ni pumba tupu,wanalala usingizi vikaoni [kijiweni hapo bungeni]
 
cdm mtatapatapa sana na kwa ujinga wa viongozi wenu mtasikia mengi sana .kweli ndoto za ikulu zitawaghalimu sana.
 
[h=2]kikwete ni mnafiki no 1[/h]
Tangu tupate maraisi hatujawahi kuwa na rais mnafiki, mzembe,dhaifu na ndumila kuwili kama kikwete uendeshaji serikali yake umejaa fitina dhihaka na upuuzi mwingi anyemshabikia huyu naomba aweke haya maelezo kwa kuprint au kucopy na baa ya 2015 mtaona kwa nini tz imefika hapa ilipo ni sababu ya huyu mr dhaifu hakuna alichowahi kuongoza kikafanikiwa zaidi ya kutengeneza makundi ndani ya chama na nchini ili awe madarakani kirahisi mungu ibariki tanzania kwa haraka sana tuondokane na huyu mnafiki
 
Vijana ndio tunanguvu tusimame kama walibya.sisi sio nguvu ya soda ,ccm wanaona kwenye kura watashindwa sasa wanawatumia usalama wa taifa.tuanzishe usalama wa taifa wetu haraka sana sasa hivi ,kwani hao ni usalama wa ccm sio taifa.hatuna imani hata kidogo na hao usalama wa ccm.tuwe macho tupeane habari haraka na ulinzi utakuwa mkubwa kwa viongozi wetu.kila mwana chadema atoe habari yeyote kwenye tawi za chadema haraka na sio polisi ,sisi hatu amini tena polisi
 
hakuna chochote tatizo la chadema wameshaona wamekwama kwenye mgomo kuiangusha serikali na wakaamu kumteka

Ushabiki mwingine bwana ili nini?kwa faida ya nani?siku si nyingi ukweli utakuwa bayana na hizo sarakasi zenu zimefika mwisho
 
Wana chadema mwendo mdundoooooo,hawa magamba ya kobe wamekwisha sasa wanaua watu.wameanzisha hiyoooooooooo,wanaona ndio sululu yao.wameona mbali kuwa hawatapata kura na washindwa vibaya sana
 
Ccm imepata asilimia 10 ya kura zote tanzania nzima.hahahahahhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.wamekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Huyu mangi wa ukweli ana akili ya darasa la pili,alafu yupo hapo anatetea kitumbua ,ni mtu asiye jua watoto wake wanakuja mbeleni wataishi vipi yeye pua yake inaangalia chini .
 
ngoja nijaribu kukumbuka....Marehemu Imrani Kombe, Horace Kolimba, Sylvester Hanga, Gavana Rutihinda........halafu kuna hawa ambao bado wako hai: Saed Kubenea, Tegambwake,.......
hebu endelea kuongezea list
.........................
 
Kama ya wagwe ingekuwa kweli nyie mna kila kitu mahakama ,magaidi wenu ,jeshi leni .mgetushitaki kirahisi sana.sisi tutawashitaki mara mkitoka madarakani mtaona
 
hiyo avatar yako tu inatupa picha kamili wewe ni mmojawapo wa walimteka dr;wakina mangi huwa wanatafuta pesa kwa jasho wewe umeamua shortcut kujiingiza huku.pepo we umeshinda fia kuzumu
 
Back
Top Bottom