Kiapo tunachokula wakati wa kuomba AJIRA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiapo tunachokula wakati wa kuomba AJIRA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGULI, Aug 10, 2010.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kuna maneno tunayosemaga tukinyenyekea ajira kwa mfano I, me, myself, I swear, I can work and die under pressure. If u believe me want plz offer letter me. mtu akiwa desperate anatafuta kazi na English kama 6th lg nayo inakuwa desperate kama nilivyoanisha hapo juu.

  Sasa swali ni kwamba je ukifika kwenye ajira yenyewe ukakuta kweli kuna pressure ya kufa mtu unaweza kurudi HR na kuwaambia yaishe jamani sikuamaanisha hivi? mfano una report kwa head TZ, na main office UK kwa sisi tuliojiriwa kwenye NGO. Unakuta kila kitu kinaanza na wino mwekundu kutoka kwa bosi wako TZ very urgent, kwenye email kutoka UK plz treat this matter as of utmost urgency and submit report before close of busness today(COB). H

  Hujakaa sawa nako mikoani wanapiga such report/data is incorect plz help us to ammend immediately and get it signed off by mandate holder. Hujakaa sawa simu kutoka ofisi kuu yaani UK inaita how far have u gone with the task assigned?

  Mnadili vipi na presha kama hizi jamani?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,066
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu umenena la maana.
  tunajiapia apia tu matokeo yake tunapelekeshwa kama PUNDA.
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Leo nawafwata HR nawaambi kwa msisitizo ....I wanna take my words back.....was joking meen. wataniua hawa wakoloni.
   
 4. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  haha haha haha ha aa.
  Hapa umekuja na mawazo mapya sana kama ya Mkoloni wa Wagosi wa Kaya
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Aug 10, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Bora wale waliopo serikalini presha kama hizi hawazipati kwa sana!
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  HR wanajibu kwa nyodo kama kazi imekushinda acha :mad2::mad2::mad2::mad2:
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,979
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Unaacha kazi baada ya kumwachia makonde kadhaa:mad2::mad2:
   
 8. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Amani kwa ndg zetu waliojiajiri tambueni nyie ni wakali na mna utashi mwingiiiiii
   
 9. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Break the rules to get the results:smile-big:
   
Loading...