Mkuu mshana jr vipi kile kiapo cha maji tulichopatiwa tukiwa wadogo huku wazazi wakiamini tunabatizwa, kinaleta laana ukiamua kuachana na ubepari wa kanisa.
Ubatizo ni agano la milele ndio maana hakuna Ubatizo mara mbili, umebatizwa kwa jina fulani ukakua nalo ukasoma nalo, baadae ukaja ukapata maarifa mengine ya kidunia na kuona hakuna Mungu, huo ni mtazamo wa ukubwani, lakini tayari una utambulisho au hauwezi kufa

Vipi kile kiapo cha wanasiasa kama mawaziri,mabalozi,wakuu wa mikoa wanaapa tena wanashika misaafu halafu wanakwenda kinyume na maapizo inakuaje ?.
Mkuu Mshana ahsante ila sio kwamba naona hakuna Mungu hapana, natambua kwamba kuna Mungu muumba wa mbingu na nchi muweza wa yote. ila sio kwa jinsi tunavyo hubiriwa kanisani.
Mfamaji kwanza ni muhimu kukubaliana kwamba pamoja na mapungufu yote ya dini lakini imesaidia Sana kuifanya dunia sehemu salama kama hivi tunavyoiona Leo na hii ni ile hofu itokanayo na maisha baada ya kifo na moto wa mileleDini ndio njia imetumika na wanadamu wachache kutawala wengine na kujipatia pesa. Ili kufanya hivyo huko kwenye madhhebu yao wanaweka sheria ambazo ukienda kinyume chake unaambiwa ukifa utaenda motoni. Vitisho.
Sasa kama roho ni kitu kisicho na mwili, ukikiweka motoni kitaungua aje? Au maumivu itasikiaje? Mshana Jr hebu comment hapa. Dhana ya motoni. What is it all about?
Ubatizo ni agano la milele ndio maana hakuna Ubatizo mara mbili, umebatizwa kwa jina fulani ukakua nalo ukasoma nalo, baadae ukaja ukapata maarifa mengine ya kidunia na kuona hakuna Mungu, huo ni mtazamo wa ukubwani, lakini tayari una utambulisho au hauwezi kufa
Mfamaji, shkamoo bro. Mtaji wa dini ni hofu, hofu ya moto wa milele na maisha ya mbinguni, huku wao wakikusanya vyote vinono vya kimwili...Dini ndio njia imetumika na wanadamu wachache kutawala wengine na kujipatia pesa. Ili kufanya hivyo huko kwenye madhhebu yao wanaweka sheria ambazo ukienda kinyume chake unaambiwa ukifa utaenda motoni. Vitisho.
Sasa kama roho ni kitu kisicho na mwili, ukikiweka motoni kitaungua aje? Au maumivu itasikiaje? Mshana Jr hebu comment hapa. Dhana ya motoni. What is it all about?
Acha fiksi bro, kwanza ubatizo sio ishu ya jina, ndio maana hakuna ubatizo wa biblia uliombadili mtu jina, na kama upo basi hayakuwa malengo.
Hawa wanaowabatiza na kuwapa majina wanataka muwe watumwa wao, na ndio maana wanafanya mambo fulani yasiyoeleweka ili kukufunga na ushetani wao, ushajiuliza kwanini ni vigumu sana kumshawishi Mkatoliki kwa hoja, kwa kuwa kuna nguvu imemshika asiyoiona.
Kwanza dini sio maarifa, ndio maana hayana logik, hayasubiri uwe na akili, unaanza kupewa utotoni ukiwa hujijui na huwezi kutafakari, kifupi ni kutekwa...
Unaziita fix Halafu unaungana nazo bila kujijua, ungesimama kwenye hoja hiyohiyo ya fix, Ubatizo ni agano la milele, na mtu hawezi kubatizwa bila jina... Pembua kwa uangavu na si kwa kutaja sehemu ndogo tu ya kile Usichokijua
Kuna mahali nimemtaja?
Mtaje ambaye alibatizwa kwenye biblia akapewa jina... Na mbatizaji wa kwanza anajulikana, na hakuwa Padri wala Mchungaji.
Mbona hoja zingine umeziruka, umeona hiyo tu..