Kiapo cha Mwanachadema mtiifu kama vile kinasema; Nitakuwa mtiifu kwa uongozi wa chama changu sitahoji mapato na matumizi ya fedha yanayofanywa na uongozi nitajitolea kuwalinda na kuwasafisha viongozi wangu katika kashfa zote ufisadi na ubadhirifu wa ruzuku, misaada ya wageni na michango ya raia kupitia sadaka.
Katika kufuatilia hoja na taarifa mbalimbali zinazohusu uozo wa matumizi ya fedha na madaraka ndani ya chadema nimegundua kuwa wanachama watiifu wa chama hicho hasa wasomi wameapa kutohoji mapato na matumizi ya fedha ya chama hicho na hata kuukosoa uongozi wa chama hicho. Ukitaka kuchukiwa ndani ya CDM jaribu kukiuka hicho kiapo yatakupata makubwa kama yaliyawapata kina flani.