i see ni kama naota hivi,inawezekana nipo sehemu nyingine,halafu naona mambo ya ajabuajabu,naona viti,meza, vitanda vipo upside down,watu kama popo,vichwa chini miguu juu,naapa nachati kwenye "FJ",kuna jamaa,ana mapembe ananifuata,ngoja nikimbilie kwa bro.osama,nitaendelea kuwajulisha yanayoendelea huku!