Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu

To yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
20,441
Reaction score
38,594
Amani ndiyo msingi mkuu katika maisha yangu! Kwa hapa nilipofikia,napenda kuwashukuru hawa wafuatao:
Asante mama!
Asante Elimu
Asante Kikwete, Magufuli na Samia (mshahara huu)
Asante wanangu,maana wananitia nguvu na ujasiri kuendelea kupambana
Asante jf, Max Me,na members wake kwa ujumla

#Nawapenda sana na mbarikiwe sana wapendwa β€οΈβ€οΈπŸ™
 
Nitakuja MBEYA tena nipate lilej joto lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…