mirna92
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 502
- 1,003
Asilimia kubwa ya mapenzi kwa sasa yametawaliwa na pesa haijulikani nani anapendwa nani anapenda mambo yamekua shaghala baghala.Hatari kweli mapenzi kiboko. Ni kugegedana tuu
Asilimia kubwa ya mapenzi kwa sasa yametawaliwa na pesa haijulikani nani anapendwa nani anapenda mambo yamekua shaghala baghala.Hatari kweli mapenzi kiboko. Ni kugegedana tuu
Hizi mada humu huwa zinawaumiza Sana singo maza wote humu ndani Waoneeni huruma nao waone kuzaa sio mkosi Wakuu!!
Kuna wachina wanafanya yaoHivi kumbe inawezekana kuwa na mtu na asigundue kama umeshajifungua mpaka umwambie!?!
Ina maana aliemzalisha hakumpendaKakupenda wewe
Inawezekana alizaa tu ili nae awe na watoto au alizaa baada ya hapo mwanaume kamkimbia,Ina maana aliemzalisha hakumpenda
Mzee imekua gafla tu ananiambia ana mtoto japo mtoto ni baraka ila mpka naniliii ilisizi yani
Kwa utetezi huu jamaa aamue mwenyew kusuka au kunyoaInawezekana alizaa tu ili nae awe na watoto au alizaa baada ya hapo mwanaume kamkimbia,
Sio wote wanaozaa ndo walipendana.
muhifadhi aisee utapata dhambi,, huenda ushampandaaaa weeee ila kuoa hutaki 😡 😡 😡Single mother anataka nimuoe kinguvu ananililia kila siku jaman huyo mzazi mwenzake aliyemzalisha Kwann asimuoe
Wewe una wtt wangapiInawezekana alizaa tu ili nae awe na watoto au alizaa baada ya hapo mwanaume kamkimbia,
Sio wote wanaozaa ndo walipendana.
We mrembo upooo nimekumissHahaa basi mkuu kwa huruma yako hiyo hiyo muoe tuuu
Nipo dear nitaenda wapi nimejaa telee,,,, miss you tooWe mrembo upooo nimekumiss
Hatuonani kule mitaa yetu ya kujidai jamaniNipo dear nitaenda wapi nimejaa telee,,,, miss you too
Haahaaa Kule si walishatusingle mother dear ndio maana adimHatuonani kule mitaa yetu ya kujidai jamani