KHEE

KHEE

Single mother anataka nimuoe kinguvu ananililia kila siku jaman huyo mzazi mwenzake aliyemzalisha Kwann asimuoe
Kama huna mipango nae muweke wazi ...kama unamipango nae muweke wazi pia....usimpotezee muda
 
Yaaan wewe bhana eti" kheee" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes sikuizi mabinti wadogo wanajifungua mapema sana 21+ tayari ana mtt na mwili unajirudi fasta anakua binti tena kwaio asipo kwambia kama anamtt basi utaingia mkenge lkn ni vyema kuwa muwazi mapema ili muhusika achague kusuka ama kunyoa japo wapuuzi hawa hawawezi kukuacha ivi ivi lazima wakulambe lolo zen ndo wanakuacha kwa kisingizio cha siwezi date single mom...
Hivi kumbe inawezekana kuwa na mtu na asigundue kama umeshajifungua mpaka umwambie!?!
 
Yes sikuizi mabinti wadogo wanajifungua mapema sana 21+ tayari ana mtt na mwili unajirudi fasta anakua binti tena kwaio asipo kwambia kama anamtt basi utaingia mkenge lkn ni vyema kuwa muwazi mapema ili muhusika achague kusuka ama kunyoa japo wapuuzi hawa hawawezi kukuacha ivi ivi lazima wakulambe lolo zen ndo wanakuacha kwa kisingizio cha siwezi date single mom...
Eti akulambe lolo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama huna mipango nae muweke wazi ...kama unamipango nae muweke wazi pia....usimpotezee muda
Nimeshamuweka wazi japo analazimisha I think ana hamu sana na ndoa labda background yake ya mapenz alitendwa sana anataka kunitwisha zigo la misumari mimi
 
Ehhh nyie wanawake mna dogo basi kama mwanafunzi wakike tu ana mimba na home kwao mpka shule hawajui mpka anajifungua sembuse awe ameshazaa ndyo utajua

Dogo lipo bhana mbona me sijui
 
Yes sikuizi mabinti wadogo wanajifungua mapema sana 21+ tayari ana mtt na mwili unajirudi fasta anakua binti tena kwaio asipo kwambia kama anamtt basi utaingia mkenge lkn ni vyema kuwa muwazi mapema ili muhusika achague kusuka ama kunyoa japo wapuuzi hawa hawawezi kukuacha ivi ivi lazima wakulambe lolo zen ndo wanakuacha kwa kisingizio cha siwezi date single mom...

Mtoa mada pitia hapa sio poa unavyomfanyia single mum
 
Go ahead mkuu lazima awepo mmoja wa mfano ajitoe sadaka hili jamii ijifunze kupitia yeye
 
Back
Top Bottom