Khatib ataka mrithi wa JK atoke Z'bar


Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2007
Messages
4,736
Likes
88
Points
145

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2007
4,736 88 145
Wabongo wana sifa ya kutwist mambo! Hebu rudi nyuma uangalie kuchaguliwa kwa Karume at the expense ya uamuzi wa Wazanzibari. Jawabu linaonekana wazi na badfala yake mnalaumu Wazanzibari. Si mlimchaguwa Karume makusudi kwa kujilinda na mwaka 2005, na matakwa yenu yalifanikiwa. Msijifanye Werevu na kuwaona Wazanzibari wajinga. Suwala hapa ni kuwa kwa vile Zanzibar ni koloni lenu basi mtaamuwa mtakavyo na baadae kuleta visi
Sasa wewe ni muongo. Kama wazanzibari hawakutaka Karume awe rais wao kwa nini hawakumpigia kura mpinzani wake? Kwa nini basi hao CCM walioona kuwa wamewekewa mgombea na bara hawakususia uchaguzi au kumpigia mpinzani wa Karume mdogo? Au mnataka kutuambia ni machogo waliokuja zanzibar kumpigia kura Karume wakati wazanzibari wote mlimpigie kura Maalim?i Acheni unafik na kutafuta visingizio. Nyinyi ndio mnaopiga kura kwa hiyo mnampata rais mayempigia kura.

Amandla........
 

Mkono

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
569
Likes
0
Points
33

Mkono

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
569 0 33
Nimekusoma mkubwa Fundi Utumbo!ila unachopaswa kukumbuka Karume alichaguliwa na watanzania bara waliofanywa watumishi wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama,au unataka reference? sogea karibu na feri ulizia kwa watu wanaojihusisha na safari za Zanzibar utajua kwamba ushindi kwa hawa jamaa ni lazima.
 

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2007
Messages
4,736
Likes
88
Points
145

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2007
4,736 88 145
Nimekusoma mkubwa Fundi Utumbo!ila unachopaswa kukumbuka Karume alichaguliwa na watanzania bara waliofanywa watumishi wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama,au unataka reference? sogea karibu na feri ulizia kwa watu wanaojihusisha na safari za Zanzibar utajua kwamba ushindi kwa hawa jamaa ni lazima.
Uzushi mwingine! Yaani Karume alishinda kutokana na kura za wanajeshi na polisi wa bara ambao hata hawaruhusiwi kupiga kura katika uchaguzi wa zanziba kutokana na sheria zenu za ukaaji! Katika nchi ya watu takriban milioni moja hao askari machogo wako kiasi gani kiasi cha kuweza kuwachagulia rais? Nyinyi wenyewe mmegeukana wakati wa kupiga kura. Mkiwa pamoja mnajifanya hamumtaki Karume lakini ndani ya nafsi zenu mnaona heri yeyote kuliko mpemba! Ni ubaguzi wenu ndiyo uliompa ushindi Karume na si kuweko kwa machogo. Na ni ubaguzi huo huo utakaompa ushindi yeyote yule atakae simamishwa na CCM.

Amandla......
 

Forum statistics

Threads 1,204,315
Members 457,240
Posts 28,150,438