Kharifa mwandishi wangu wa habari!

Kharifa mwandishi wangu wa habari!

Olmo

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2026
Posts
1,197
Reaction score
2,149
Nakuomba uzidi kijilinda wewe kama wewe! Wewe ndiye uliyemhoji mzee huyu kwa hiyo basi uwezekano wa kuongea mengi off mic upo mkubwa sana. Utanifanya nishinde naangalia tanzania safaris peke yake maana umebaki wewe tu mwanahabari mpenda haki usiefanya kazi ili baadae ufikiriwe, unafanya kazi kutokana na uhai ulionao unavuta oxygen kihalali! Mungu akulinde kaka yangu!
 
Back
Top Bottom