Mchekechoni
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 279
- 19
Very funny!!!HOW Will I beba myself?
Ni leo ucku & every Wed nite, never mis the sweet looks with our lovely african beauties @ the Continental! Khanga moko tepetepe, utajibeba mwenyewe mie simo!
inawezekana ikawa aina ya kazi kati ya zile 1000 zilizokuwa kwenye hirani ya m'heshimiwa.ni leo ucku & every wed nite, never mis the sweet looks with our lovely african beauties @ the continental! Khanga moko tepetepe, utajibeba mwenyewe mie simo!
inawezekana ikawa aina ya kazi kati ya zile 1000 zilizokuwa kwenye hirani ya m'heshimiwa.
Nilihudhuria promosheni ya Heineken, kuna mabinti wanacheza yaani ni noma, hakieleweki wanakata kitu gani, sijui ni kiuno, sijui matak0, sijui ni tumbo, sijui ni nyonga?
Yaani nilibako hoi.
Nasikia jumatano huwa wanakuwepo hotel contineto, ntafiunga safari niende Dsm nkajionee uhondo tena.
chunga tamaa mbaya...