Khaliat nahal (honeycomb breads)


farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,139
Likes
5,566
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,139 5,566 280
Mahitaji ya shira(syrup)

1)Sukari kikombe 1
2)maji kikombe kasoro
3)hiliki kiasi
4)zafarani (saffron) au arki ya rose...

Mahitaji ya mkate

1)Unga wa ngano vikombe 3.5
2)mayai 2
3)maziwa ya unga 2 tablespoon
4)sukari 3 tablespoon
5) hamira1 tablespoon
6)chumvi 1/2 teaspoon
7)siagi iliyoyayushwa 4 tablespoon...
8)mafuta ya kupikia 4 tablespoon.
9)maji 1/2 kikombe...
10)maziwa kikombe 1
11)jibini (cheese) portion 6-8
12)baking powder 1 teaspoon..

Namna ya kutaarisha

1)Chemsha,maji,sukari,hiliki,suffron kwa dakika chache hadi iwe nzito nzito...weka pembeni ipoe..

2)weka kwenye bakuli unga,hamira,sukari,chumvi,maziwa ya unga...
2)weka mafuta,siagi uliyoyayusha na yai moja..changanya vizuri...
3)changanya maziwa na uchanganye unga wako...huku ukiengezea maji kidogo kidogo hadi uwe umekandika vizuri na laini...
4)wacha kwa dakika 10-15...
5)tengeneza viduara vidogo vidogo...ndani ya kila kiduara weka cheese kiasi...alafu weka kwenye trey...
6)ukimaliza pakaa yai juu yake..
7)weka kwenye oven 300°-350°....hadi ziwe brown


8)zikishapoa mwagia shira(syrup juu yake)....

Khaliat nahal (honeycomb bread) tayari kwa kuliwa...
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,139
Likes
5,566
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,139 5,566 280
BAK amu billy Jaliwat mimi49 Jerrymsigwa MziziMkavu Ablessed Swts Ennie Angel Nylon King'asti afro arabica shansarie SHERRIF ARPAIO Chocs Mrs Kharusy
 

Attachments:

Last edited by a moderator:
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Likes
61
Points
145
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 61 145
Dah!
Kama nazisikia zinavyonukia.
Jazaaka llahu l khair
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,139
Likes
5,566
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,139 5,566 280
Yummy ningepata saa hizi hivo na chai ningekuwa burudani!
Hhahahahhhh kesho itabidi upike...:):):):):)
Alafu chai yenyewe ile yetu ileee mdalasini,hiliki,zatar,mchaichai weee...
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Likes
405
Points
180
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 405 180
Hhahahahhhh kesho itabidi upike...:):):):):)
Alafu chai yenyewe ile yetu ileee mdalasini,hiliki,zatar,mchaichai weee...
Kabisa naona ningesinzilia kwenye sofa!!!shogaangu anavipika hivo na ana nyunyuizia kama spice fulani hivi inafanana na seasam lkn nyeusi yaani nikianzaga kuvila mhhh shida kustop vitamujee!!
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,139
Likes
5,566
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,139 5,566 280
Kabisa naona ningesinzilia kwenye sofa!!!shogaangu anavipika hivo na ana nyunyuizia kama spice fulani hivi inafanana na seasam lkn nyeusi yaani nikianzaga kuvila mhhh shida kustop vitamujee!!
Hizi waweza weka sesame pia.....
 
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2013
Messages
15,844
Likes
5,767
Points
280
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2013
15,844 5,767 280
saffron ndo nini jamani?
 
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
4,621
Likes
118
Points
145
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
4,621 118 145
Asante sana dear yaani mi umensaidia sana kwenye vitafunio
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,318
Likes
190
Points
160
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,318 190 160
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,139
Likes
5,566
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,139 5,566 280
Faffy..Mmh safri hii umenisahau Khaliat nahal (Bee queenhouse) si ungewekezea Black seeds"habaa souda"kwa juu..... MashaAllah Mkono wako mwema. ubarikiwe dadaytu
Amina.....next time nkikualika ntaweka na haba souda uje ujirambe:p:p:p:p:p
 
shansarie

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Messages
5,717
Likes
315
Points
180
Age
34
shansarie

shansarie

JF-Expert Member
Joined May 25, 2013
5,717 315 180
Hazina sukari nyingi?
 
shansarie

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Messages
5,717
Likes
315
Points
180
Age
34
shansarie

shansarie

JF-Expert Member
Joined May 25, 2013
5,717 315 180
Sio nyingi...ila waweza kuweka shira(syrup) kidogo sana kama hupendi sukari..
Wengine tupo ugaibuni hiyo safarani inaitwaje kwa kidhungu
 

Forum statistics

Threads 1,250,942
Members 481,523
Posts 29,751,684