"Khadija Kopa na mumewe" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Khadija Kopa na mumewe"

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Jul 2, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Khadija Kopa akiwa na mumewe kabla ya kupanda jukwaani kutoa burudani.
  [​IMG]
  Msanii wa Taarab Khadija Kopa akiwasha moto huku akisindikizwa na watoto wake.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ok sawa embu nisaidieni eti huyo wa kwanza kwenye picha ya pili alisahau kuvaa sketi au suruali au ni mambo ya dot com maana mi sielewi sijui au ni ushamba wangu?
   
 3. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  Mume mwanae?!
   
 4. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mama na wana.
   
 5. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Ona hapo walivyokaa huyo kijana hadi anaonekana muoga, anyway... ni ampenzi tu lakini!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  huyo mumewe kwa umri alionao inawezekana kabsaa akala kuku na mayai yake
   
 7. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Acheni hizo! Mbona wanaume wanaoa wasichana wanaowazidi hata miaka 25 na hakuna anayesema baba na mwana?
   
 8. Badu

  Badu JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 364
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Daah! Mbona mayai ni mazur kuriko kuku ebhanaee kama n mimi nababua yote
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Kumbe huu ugumu wa Maisha unaweza kujikuta unaishi kwenye maisha ya kujifake wewe mwenyewe, hivi huyo ni mume au Gigolo?
  Haya kila mtu na maisha yake!!...
   
 10. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hakunaga umri kwenye penzi
   
 11. t

  testa JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mama amepata mtwangio unaotwanga vizuri
   
 12. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Sijui lakini naona wakati wa kibacha kama umeshamfikia!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa kuendekeza Tamaa za mwili, Penzi halina umri.. Lakini kwa hofu ya Mungu, Tuige na tukubali kua \mwanaume anapaswa amzidi Mwanamke ki umri . Like Adam na Hawa, Adam alikua mkubwa kwa Hawa..
   
 14. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  usikariri na usipotoshe kwa nukuu za kubuni, wapi mstari gani wameandika mume lazima awe mkubwa.??
   
 15. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  age is just numbers, ukimpata anayekufaa mshikilie, umri usikubanie kuwa na unayempenda.
   
 16. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mbona tunaolewa na vibabu vizee hatupigi kelele, when its pay back kwanini manweka mabandiko?
   
 17. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  hadija kopa alisema kiumri uyo mme wake ni mkubwa ila ilo umbo dogo tu lakin umri mkubwa hivo si serengeti boy kama masuburi yenu yanavyofikiria
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Na yule Sudi othmani alikuwa chips funga na yuko pande ipi siku hizi
   
 19. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  anampa laana tu mtoto wa mwanamke mwenzie ..khaaaa
   
 20. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Thanks stineriga I wanted to ask the same question! Eti kula kwa tindo yuko ooh, Adam alikuwa mkubwa kwa Hawa. Sawa hatukatai kuwa Adam aliumbwa kabla ya Hawa, lakini je unataka kutuambia kuwa ilipita miaka kadhaa baada ya Mungu kumuumba Adam ndipo akamuumba Hawa? Huo ukuuuuubwa wa Adam kwa Hawa uko wapi? Watu bana, kibabu kikioa binti sawa, kibibi kikipata kijana kilele nyiiingi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...