Khadija kopa na mabint zake...

Si haba amejaaliwa vitega uchumi viwili
 
Nimepima mara ya saba mwezi wa nne.

Kama ni mara saba katika mwezi mmoja bado damu yako sio safi. Unapaswa kupima baada ya miezi mitatu tangu ulipopima au tangu ulipocheza rafu bila viatu.
 
Nimepima mara ya saba mwezi wa nne.

Ndio ukweli huo mkuu mimi huwa napenda kupima mara hadi kitu ninachopimia wameshanizoea.

Kama ni mara saba katika mwezi mmoja bado damu yako sio safi. Unapaswa kupima baada ya miezi mitatu tangu ulipopima au tangu ulipocheza rafu bila viatu.
sawabho: hahaaa u made my day Young_Master:jifunze kujieleza unatia aibu mkuu, hata mdogo wangu wa form one hawezi kujieleza kirahisi kama ww
 
Last edited by a moderator:
Haki ya Nani, huyu wa Kwanza kushoto............ Soon atakuwa LISANAMU LA MICHELEN.

Huyu wa Kulia, hebu muondoeni maana anaharibu radha kabisa.
Tafadhali naomba contact za huyo wa kwanza kushoto!
 
Vijana acha tamaa, yaani kuona picha tu mko hoi hayo no mambo ya kupita tu. Yatafuteni yasiyoonekana ambayo ni ya milele, yanayoonekana ni ya muda tu
 
Embu nipe majina yao wanayoyatumia huko FB niwatafute ummu kulthum
ruky kopar huyo mwingine ningee dola 4000 nikwambie
 
Kama ni mara saba katika mwezi mmoja bado damu yako sio safi. Unapaswa kupima baada ya miezi mitatu tangu ulipopima au tangu ulipocheza rafu bila viatu.

Sisjasema kuwa nimepima mara saba kwa mwezi mmoja ila nimesema kuwa mwezi wa nne ilikuwa ni mara yangu ya saba kupima.
 
sawabho: hahaaa u made my day Young_Master:jifunze kujieleza unatia aibu mkuu, hata mdogo wangu wa form one hawezi kujieleza kirahisi kama ww

Ni kweli Mkuu Manyanza , fikiria huyu Mkuu Young_Master anasema amepima mara ya saba mwezi wa nne bila kusema ni mara ya saba tangu lini au tangu tukio gani lililomsababisha apime kila wakati !!! Akumbuke kuna "window period" anaweza pima akaona yuko fiti akaenda uwanjani bila viatu, akachafu damu kabla ya miezi 3 akaenda pima.
 
Sisjasema kuwa nimepima mara saba kwa mwezi mmoja ila nimesema kuwa mwezi wa nne ilikuwa ni mara yangu ya saba kupima.

Nasema kitu ambacho ni profession yangu, so niko experienced na watu kama ninyi !!!! Kwa nini upime hadi mara saba ilhali ikishafikisha mara tatu wanakwambia huna tatizo, nenda kajitunze. Vituo vingine ukienda na kile kikadi baada ya kupima mara tatu wanakuonya kabisaaaaaaaaaa kuhusu tabia yako maana wanafahamu kuwa una tabia hatarishi.
 
Mkuu nadhani ungeangalia swali nililoulizwa kabla ya kujaji. Mimi nimejibu kile nilichoulizwa na siwezi kutoa maelezo au kujibu kitu zaidi ya kile nilichoulizwa. Ndio maana watanzania wengi huwa tunafeli mitihani kwa kujibu kile ambacho hatujaulizwa kwa kudhani kuwa ukifanya hivyo utajiongezea maksi kumbe ndio unajichinjia mwenyewe baharini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…