Sangomwile ukiwa bondia usiogope za usoMkuu,watakutia vitasa ohoo!
Hahahahhhaaa
Matege mtani wangu mimi kipaji changu kuhonga, yani nahonga hadi natia imani muulize Mae atakwambia!! Hii msg kaandika mdada mi ni kijumbe tu...!tena mtani wewe unanyanyauga na mikono juu kabisa wifi achukue kiasi anachotaka.... kila mtu anajifanya hahongi, uongo mtupu.
Matege mtani wangu mimi kipaji changu kuhonga, yani nahonga hadi natia imani muulize Mae atakwambia!! Hii msg kaandika mdada mi ni kijumbe tu...!
hahaaaa.. umekabidhi na simu kabisa... we una kipaji basi, ukigundua kipaji chako utafika mbali mkuu.. wahi basata
Hahahahaaaa tena kuhonga smart phones kwangu ni sawa nakununua bazoka, halafu wala sijali mrejesho, nikikupa nimekupa hata kama hatufahamiani sikumbuki kwakweli nimeshahonga ngapi
Sasa nani atuhudumie jamani??????Mbona wanaume wa siku hizi mnapindisha sana maneno?Kwani babu zetu walikua hivi kweli???
Na ukiwa muuza utumbo, usiogope inzi. ngoja waje ma-girlfriendsSangomwile ukiwa bondia usiogope za uso
Daudi Mchambuzi hili ni neno la faraja mno ujueJaribu kuwa mvumilivu kama mama yako. Baba yako alikua hana hata senti mbili lakini mama yako alimuelewa na kumpa fursa.