cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
nyumba kubwa, hapa tutatofautiana kidogo. sina mabinti wakubwa lakini ninao, na MUNGU akinipa pumzi nikaanza kuona wanavyoanza ku-date nitafanya hivi.Purple mwanaume hapaswi kujiona ana kibarua cha kumpa girlfriend wake ela no matter what? Imagine wewe una mtoto wa kiume ambaye ni mwanafunzi na hana kazi. Na kwa kuwa ni above 18 japo ni mwanfunzi say wa high school au college ana girlfriend...Atatoa wapi ela ya kumpa girlfriend wake ambaye say ni binti yangu???
Kama binti anaingia kwenye uhusiano kwa kutegemea mwanaume atamtunza ndio wale mabinti ambao mnakuta mkuo high school yeyey ana date a banker...huku ana kijana mwanafunzi mwenzie.
Masikini ya Mungu hajuhi huyo anaye date ambaye ni mkubwa kuliko yeye anamuweka kwenye risk gani za magonjwa.
Nakubali wadada wa hivyo wapo wengi...lakini ndio hawafai kwani hakuna penzi wanajiuza kupata ela ya matumizi.
kwanza nitawafanya my friends, hiyo nimeshaanza kuijenga am sooo kloz kwao, kuna umri ukifika nimeona mabadiliko i mean kwenda mbalamwezini nitaanza kuwapa pesa kidogo ya matumizi kila mtu mwisho wa mwezi inshaallah nikipata tu mshahara, nakumbuka my mum used to do this na ilitusaidia sana! nitawaambia jamani chonde chonde dont ask of anything from a boy friend, NEVER! nipo hai kam to mama/papa. pesa ninayowapeni each of u ni kwa matumizi yenu madogo madogo, yale makubwa plz report kwangu! hii itawajengea itikadi ya kwamba NO MIZINGA FROM GUYS, parents can do. na kama una biashara anza kumshirikisha mapema ili aanze kujifunza kujitegemea na ku-save. kwamba anaweza akawa anakaa shop weekends na unamlipa end of month!
by the time anamaliza a-level anajua wapi pa kuingilia, wapi pa kutokea, bila kuwa na kasumba ya MIZINGA, na mzazi ukiwa provider! wapeni magari pia kama wapo above 18, hawatadanganywa huko nje, wala kuwa na tamaa za kijinga kwa guys!
mjengee misingi ya dini, AWE NA HOFU YA MUNGU, ongea naye kuhusu mimba, HIV, etc, nenda naye mazoezi, mshirikishe mambo yako, mwambie mume mwema si yule mwenye pesa HAPANA! ni yule MWENYE UPENDO WA DHATI KWAKO AND VICE VERSA! poleni nimewachosha! malezi yanamatter! THANX TO MY PARENTS!
Last edited by a moderator: