Khaaaa!!Kwani ni lazima?

nimekupa like kwasababu hujaelewa mada ma dearest. huyu eiyer aliyekwenda kulalamikiwa ni mtu baki manake demu ni wa mshkaji wake na eiyer na mimi namshangaa binti kwenda kulalamika kwa mtu ambaye wakiwa wanapeana raha wala hata hashirikishwi ila wakati akikosa kupewa hela ndo anamfuata kulalamika.

kweli mpenzi nilikuwa sijaelewa, sijui usingizi ulikuwa haujaisha!
 
Wakati anapokua amechacha anakua anaishi kwa nani?

mi nachoamini kama mtu unampenda utapigania furaha yake na yako. Tatizo watu siku hizi tumekuwa wabinafsi tunajijali wenyewe. Kwa vyovyote kabla hujaanza mahusiano yoyote lazima umfahamu mpenzi wako including mazingira anayoishi na economic status yake. Si wanaume wote wanadate mabinti mambo safi, kama wako ni wa kuhitaji msaada then msaidie kama unaweza. usiwe mtu wa kushare nae mazuri, show love hata kwenye matatizo.
 
  • Thanks
Reactions: LD
bf/gf wanaweza kusaidiana financially or materially kutegemeana na prevailing circumstances na uwezo walionao....what's not fair ni mmoja kumgeuza mwenzake buzi au ATM
 
Kama yuko kwao,mahitaji MUHIMU wazazi wake wanayaweza.Kama hana kazi na anajitegemea tht's onother case,but badala ya kuomba hela na kulazimisha ni bora aniombe nimtafutie shughuli ya kufanya!

My sweet love Eiyer, nitafutie basi kishughuli ili nisikuombe pesa. Maana mama yangu siwezi mtegemea kwani yeye ndio ananitegemea!
 
Wanawake wanapenda wapewe hela ata kama wanazo.

Yan unaanzisha mapenzi na mtu alaf unajuta maana ana kuwa mzigo!
 
eeeee wallah kazi ipo! yangu macho na kope zake! tiririkeni lol.
 
Kwanza naomba nitambue uwepo wa ma sweetlo gfsonwin na mchango wakr kuntu, mwaaah. Nitambue mchango wa woote hapa hasa nyumba kubwa, Eiyer, Purple, Catherine, Kunta Kinte, Kaunga na wengneo.

Niseme tu siku hizi kuna wanawake aina mbili wanawake pesa na wanawake kawaida inapokuja kwen mapenzi.

Kama walivosema wengine kwa mwanamke ni kujiaibisha sana kama unaonekana kumfanya mwenzio ATM , i mean unampigia anaishia kukwambia "niricharge" while ilikuwa salam tu, au "simu imeibiwa ya tigo nipe basi walau elf 50 nikanunue kitochi," au leo nina hama ya chips samaki wa mlimani city hebu ni mpesa kidogo" au umeoka naye anakwambia " unajua home dada ana kiu kweli ameomba kuku na savannah 3" khhaaa! Pamoja na kukera vinaudhi hata kama
Mtu unazo unaweza kumpotezea maana malengo yake sio kabisa.

Nakubaliana na dharura flani flani ambazo ni genuine na sio vitu routine kama hivyo na unncessary, afu sasa tuma vocha uone kama utapigiwa lol mkiwa wote unaweza kushangaa tu yuko busy na mtu mwengine kwn simu and the like, kidude kwa mbinde nk hao ndo wanawake pesa sasa! Upo apo Purple, wasikilize uzur gfsonwin na nyumba kubwa!

So ladies tambueni uhusiano ni wenu wawili mtu akistukia unaplay a dounle game baas kama ana akili anapotezea wapo ladies genuine kabisa hawana mambo hayo unampa mwenyewe fweza sio kama hongo but kama shukran na vizawaid coz unaona kuna fairness kwen uhusiano lol

Sijui hata nimeelewek gfsonwin come this way mamito kwa pm.
 
Last edited by a moderator:
ila kupewa pesa na mwandani wako raha jamani! tuache unafiki, pesa ni chachu ya loveeeeeee! si lazima malaki wala mamilioni, waeza sema tu bby wangu leo kanunue pants cassandra, 50,000 hiyo hapo! basi roho inasikia amani na gemu linakuwa la maufundi zaidi! coz unaona this guy cares about me, ananifikiria hata kama si kwa makubwa, but at least kidogo alicho nacho he shares with me, coz nyie nyie mnataka tuspray ma alien na coco channel perfumes, pants za uhakika, n shoes and everything iwe poa, hata tukitoka u appreciate, maintain basi huo uzuri na utanashati ili nisichushe!

wakati unanioa au umenikuta nilikuwa nashine, my parents tried na kunifanya unikute vile ulivyonikuta! sasa iweje leo nije kwako kei yangu waitaka kutwa mara 5, usiku umeigeuza drip ya kwinini, unanigeuza weeeeeeee! halafu hutaki kuu-maintain uzuri wangu itakuaje jamani???

nadhani mwanaume hapaswi kuombwa, anapaswa mwenyewe kujua huyo partner wake anahitaji huduma na kupendeza, anahitaji kujaliwa na kuonyeshwa anathaminiwa! ni mtazamo tu.
 
Dah! Mi sijui hata huwa wenzangu wanaanzaje kuomba pesa kwa wapenzi wao.. Mie kwa kweli siwezi hiyo biashara..! Naamini kwenye mapenzi ya kweli na sio Kuchunana tuu.! Isitoshe nina kijikazi changu hivyo najimudu kiasi chake sitaki kuwa Mzigo kwake!
 
yaani mkubwa hii tabia imevuka mipaka,wanawake wanahisi kupewa hela ni haki yao ya kimsingi kwny katiba,hata p**d wanataka wanunuliwe na wanaume,ndio maana hata kiwango cha kufikiri kimepungua coz they are like floating logs
 
Kwanza naomba nitambue uwepo wa ma sweetlo gfsonwin na mchango wakr kuntu, mwaaah. Nitambue mchango wa woote hapa hasa nyumba kubwa, Eiyer, Purple, Catherine, Kunta Kinte, Kaunga na wengneo.

Niseme tu siku hizi kuna wanawake aina mbili wanawake pesa na wanawake kawaida inapokuja kwen mapenzi.

Kama walivosema wengine kwa mwanamke ni kujiaibisha sana kama unaonekana kumfanya mwenzio ATM , i mean unampigia anaishia kukwambia "niricharge" while ilikuwa salam tu, au "simu imeibiwa ya tigo nipe basi walau elf 50 nikanunue kitochi," au leo nina hama ya chips samaki wa mlimani city hebu ni mpesa kidogo" au umeoka naye anakwambia " unajua home dada ana kiu kweli ameomba kuku na savannah 3" khhaaa! Pamoja na kukera vinaudhi hata kama
Mtu unazo unaweza kumpotezea maana malengo yake sio kabisa.

Nakubaliana na dharura flani flani ambazo ni genuine na sio vitu routine kama hivyo na unncessary, afu sasa tuma vocha uone kama utapigiwa lol mkiwa wote unaweza kushangaa tu yuko busy na mtu mwengine kwn simu and the like, kidude kwa mbinde nk hao ndo wanawake pesa sasa! Upo apo Purple, wasikilize uzur gfsonwin na nyumba kubwa!

So ladies tambueni uhusiano ni wenu wawili mtu akistukia unaplay a dounle game baas kama ana akili anapotezea wapo ladies genuine kabisa hawana mambo hayo unampa mwenyewe fweza sio kama hongo but kama shukran na vizawaid coz unaona kuna fairness kwen uhusiano lol

Sijui hata nimeelewek gfsonwin come this way mamito kwa pm.
Kaizer ma swtlo nakuja baba nimekumiss sana nlijua pancha leo bado
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom