khaaa....tunahitaji JF Gym....

Nakumbuka tulipofika eneo hili Arushaone alijaribu KUZAMIA kumbe hata sio kina kirefu

Me mwenyewe nikajiuliza kweli ataweza fika pale Kileleni pa Chumvini au zilikuwa ni mbwembwe tu..............
Ila Arushaone kwa kweli ni mume mzuri kwetu sisi wake zake.
Copy kwa mke mwenzangu Blaki Womani, Umtunze huko, abaki na mwili wake huohuo, akipungua tu, Utantambua.
 
Last edited by a moderator:
Mwanyasi, hiyo kauli yako hiyo, au hukuniona Pale au ulikuwa unaniangalia kwa wasi wasi,
Nani ana kamwili?
Ina Maana hukuniona vizuri????????
Ntakuchapa.....!!!!!!!!!!!!

Hivi safari inaendeleje Madame B?
Gym waachie kina kina bonge watu8 wafanye, wewe na Arushaone hakuna haja ya gym kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Hivi safari inaendeleje Madame B?
Gym waachie kina kina bonge watu8 wafanye, wewe na Arushaone hakuna haja ya gym kabisaaa

Kwa hiyo na mimi hautaki nipungue Kbs Mwanyasi..........????????????
Ila mule pangoni kwenye ile njia ya kwenda Uzimani, baada ya taa kuzimwa kuna mtu alinishika kiuno ili asipotee, Hivi haukuwa ni wewe kweli manake wanaume wote mliambiwa mbaki nyuma mtulinde (copy kwa Baba V)
 
Last edited by a moderator:
PakaJimmy kasema upungue kisigino tu,
Aliyekushika kiuno atakuwa PakaJimmy maana yeyey alijitolea kukulinda kuanzia kwenye gari.
Walipozima taa nilikuwa na Blaki Womani.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hiyo ya usiku pale nyi.... ilikuwa ya ukweli sana, nitakurushia picha sasa hivi

Aiseeeeeeee..........
Ile ni Kiboko sana.............
I love AraChuga Winggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggg..............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

mke mwenza huyu mume kanishinda kaona kimwana kipya same kaamua kubaki hapo hajatosheka na 5some
 
Last edited by a moderator:
kweli gym muhimu Arushaone aje aseme hapa kama anabisha yeye hataki gym mi nataka coz nataka nisiwe mzembe mzembe kotekote, mwili usiharibike bureee na kitambii, misuli kuuma sholders hizi ili nguo ikae vema pia
 
Preta nikumbushe wapi vakeshen thi hia?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh hapanifai hapa....Cc mimi49 uje nimeshakuandikisha kwa Erickb52 yeye ndo mwalim apa
 
Last edited by a moderator:
jamani naombeni kazi nina uzoefu wa kutosha wa kufundisha kwenye mazoezi ya Yoga.Hii ni moja ya picha ambazo nilikuwa nikiwafundisha wagema ulimbo fulani hivi.


Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…