JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Basi tutakimbia wote asubuhi..Nimeipenda location yako na mimi nakufuata huko mlimani...
Ni kweli gym muhimu kwa afya,,
Hapa kama sio kuchomeana, ningeweka picha yangu muone naonekanaje!
cherst
Back
Showder
Mkono wa nyuma
Mkono wa mbele
Six backs
Miguu
ki kweli napendeza sio siri.
labda nichukue fursa hii kumkaribisha bwana Mwanyasi aelezee kilichotokea pale njia nyembamba ndani ya pango....
Certified personal trainer nimekuja. Nani anataka nim-train?
Ni kweli gym muhimu kwa afya,,
Hapa kama sio kuchomeana, ningeweka picha yangu muone naonekanaje!
cherst
Back
Showder
Mkono wa nyuma
Mkono wa mbele
Six backs
Miguu
ki kweli napendeza sio siri.
ha ha ha.....nilicheka sana pale Lily Flower alipobinuka ....hivi aliteleza eeh.....
mie nafunza MKONO WA CHINI
Hujachubuka tumbo?
mi mwenyewe uliniona....kama sio marejesho kunivuta pale...adisi ilikuwa ni nyingine saa hizi....uwiiii....naenda gym....
Weka picha kama unamkumbuka.hahaaaaa shukrani za pekee zimwende kiongozi wa pango vingunevyo miguu ingeachwa TA