Khaaa! Kumbe bongo kuna wanaume ni wazuri aisee

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
6,781
2,000
Kwaiyo we hushangai mwanaume kuwa hivyo. we ndo unatia mashaka. Mi katika maisha yangu yote sikutarajia kuona mwanaume mrembo namna hiyo aisee kuliko hata dada zetu
Hatakuwa punga huyo.

Kwamba ukiwa mwanaume huwezi one mtu kuwa ni handsome au hapana?

Mie nimejenga hoja kuwa ukiongelea uzuri WA mwanaume ni kuwa na muonekano wa kiume sio wa kike
 

tracebongo

JF-Expert Member
Nov 18, 2018
1,096
2,000
Uyo jamaa apo juu ndo anasema mchz punga. Mm pia sijawah ona punga wa hv
Kwani punga anakuwaje? Mwanaume rijali lazima ujitofautishe na mwanamke, huyo jamaa yako umemuangalia vizuri kichwani hizo nywele?
Mwanaume halisi ni Steven Wasira, Mizengo Pinda, Remmy Ongala, Mzee Kilomoni n.k
 
Top Bottom