Aah sana bongo inakuwa ndo imekula kwako mana mnakuwa mmetumiana vya kutoshaYahh...sahv ni 6+ years of dating....na Engagement ilikuwa 2014, bongo muda ukiyoyoma hvo ujue ndoa hakuna....tehteh
Ah kibongobongo ushapigwa vijembe kibao....mpaka unaiona pete chungu.Yahh...sahv ni 6+ years of dating....na Engagement ilikuwa 2014, bongo muda ukiyoyoma hvo ujue ndoa hakuna....tehteh
Hauangaliaji movie ?...Ndonani hawa
Kama yako ile.Inapendeza....!!
So hao watoto wawili hapo ni wake?na mama yao ndo huyo au?jamaa huwa anafanana sana na watoto wake..!!ila sura yake imekaa kibongo bongo