Kevin Chuwang Pam proposed to Elizabeth Gupta!

Nampongeza sana tena sana huyo kijana wa Kinigeria kwa hatua aliyoifikia kuacha kuowa kwao na kumchumbia huyo binti wa T.kwani wasichana wa kinaigeria wanatisha Mungu nisamehe wewe ndio mumba lakini wasichana wao nyuso zao kama mawe ubahatike tu ukutane na mwenye uso ulio fanana na mwamake nafikiri kwao kijijini jamaa watamuona kaja la malikia subiri mtajionea wenywe,binafsi hupigwa na butwaa na hawa watu na kujiuliza inakuwaje mwamume unapokuwa na msichan mwenye uso wakiume kama ndio mke au mpenzi wako?
upondaji kama huu balaa!
 
vuvuzela mombuto sesekoko hakuna matata ..... dont really know wat u guys are saying but i smell playinhaters in here , common dudes they are just gettin married!!! where is the love ya'll.

that 9ja boi...
 
Mshiriki wa mwaka jana wa Big Brother Revolution kutoka Tanzania Elizabeth Gupta, tarehe 21 August 2010 nchini Nigeria alivalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake ambae ndie mshindi wa Big Brother revolution ya mwaka jana Kevin Chuwang Pam kutoka Nigeria.

Wapenzi hao ambao walikuwa katika ukumbi wa Ogus Baba Laugh Goes On ambako hufanyika onyesho la comedy walipanda pamoja on stage kuperfom wimbo kwa pamoja unaoitwa 'unapata mambo'Walipomaliza kuimba Kevin akapiga magoti kwa Elizabeth na kumwambia "Elizabeth, will you marry me".
Ukumbini kulikuwa na watu takribani 2000 ambao walikuwa wakipiga kelele "say yes, say yes, say yes" ...Elizabeth akasema "Yes"
 
Haya mambo tena.Hii engagement isje ikawa kikomedi zaidi.lakn wanasema ya Ngoswe.......................
 
....duuuuuuh mbona kule mjengoni alikuwa ...staki nataka.....mara oooooh mi s-date na blacks...sasa nini tena? anakimbia unung'ayembe or wht?
 
Alishasema hajawahi kudate na black, najiuliza kwa hii black kafuata nini, anyway tunawatakia kila la kheri.
 
Alishasema hajawahi kudate na black, najiuliza kwa hii black kafuata nini, anyway tunawatakia kila la kheri.

Teh teh teh teh mkuuuu kumbe wakumbuka hili kuwa hajawahi date na Black?? na kile kilichokuwa chafanyika BBA-House ndio ilukuwa si dating na sasa imegeuka kuwa kweli jamani dada zetu kwa mapooozi swaga fulu ful kibao kumbe ndio zao mmmmmh.

Poa lakini freeeshiii tu hongera zake.
pete ya elizabeth.jpg Da Eliza.jpg Kelvn and Eliza 1.jpg


Twamgoje huku atuletee shemeji yetu na Clouds FM-Radio wamwite tena kipindi cha Jahazi aulizwe yale yale maswali upya teh teh

 
40465_425286333810_88087338810_5096030_2930875_n.jpg


Last Saturday (21 Aug) while at the Ogus Baba Laugh Goes On comedy club in Port Harcourt, Big Brother Revolution winner, Kevin Chuwang Pam and his lady friend, and Revolution contestant Elizabeth Gupta got up on stage and performed a track together.

Nigeria’s biggest comedian, Ali Baba introduced the couple to the 2000 strong crowd. Once they’d finished performing “Una Pata Mambo” (Anything you want, right there you get it), Kevin went down on one knee and proposed to Elizabeth. He said he kept it simple and just asked: “Elizabeth, will you marry me”.

The crowd started screaming: “say yes, say yes, say yes” and obviously she did. Kevin then says a woman broke free from the crowd, ran onto the stage and congratulated them both with a huge hug!!!!

Source

wanaendana nawatakia maisha mema na mungu awajalie wazae watoto
 
Back
Top Bottom