Kesi za kubakana

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Wakuu salama
Jamanii mwenzenu nna miezi kadhaa sasa sijasikia kesi za watu kubakwa
Si kwenye TV,Radio,mtaani au gazeti
Je ni kwamba watu wameokoka au bwana Pombe Magu kawanyoosha hadi wabakaji na sasa wanasoma namba
Najiuliza Tu.
 
xx kama wale wauza k wamepunguza vei n sometime mtu anapokea mzigo bure tu. ya nn kubakana xx!!!?
 
Kesi za ubakaji zinaongezeka, tatizo inangojea hizo taarifa mahala pasipo sahihi.
 
Back
Top Bottom