cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,127
Anaboa sana huyu polisi uchwara.Kila kitu hajui, au 'sikuwepo'!
Anaboa sana huyu polisi uchwara.Kila kitu hajui, au 'sikuwepo'!
Tangu nikufahamu, sijawahi kukushuhudia ukiuliza maswali uenye logic kama haya.Nahitaji kujuzwa, hivi pale CCP moshi huwa wanafunzwa nn hawa polisi? Mie nilikua najua wanafundishwa sheria, Kanuni, na taratibu za nchi.
sasa km Polisi huyu hata haijui sheria, yeye kila kitu sifahamu, sijui, na sina kumbukumbu, ya nn hii case iendelee kuwepo? Si ifutwe na mshitakiwa arudi uraiani kuendelea na mambo yake binafsi.
Mashahidi wenyewe wote ni mambulula, hata hawana wanalolijua, kwani huko chomboni hakuna polisi wasomi na wabobevu wa masuala ya sheria, wawe mashahidi at least hii case ioneshe hata u serious, hawa vilaza wanaokotwa wapi kuja kutia aibu mahakamani na mbele ya umma?
Yaan mie ndo ningekua Lissu, nahisi ningetukana na kuchamba wotee wanaoshikia hii case, siwezi kuvumilia huu upumbavu wa hawa mashahidi.
Hivi ni kweli hawana ufahamu na uelewa, au wana act makusudi? Bado sielewi kwa kweli...
Nimechukia mie leo, huyu shahidi aondoshwe bhana, linatuboa wasikilizaji na wasomaji.
Pumbavuu zake.
Tangu nikufahamu, sijawahi kukushuhudia ukiuliza maswali yenye logic kama haya.Nahitaji kujuzwa, hivi pale CCP moshi huwa wanafunzwa nn hawa polisi? Mie nilikua najua wanafundishwa sheria, Kanuni, na taratibu za nchi.
sasa km Polisi huyu hata haijui sheria, yeye kila kitu sifahamu, sijui, na sina kumbukumbu, ya nn hii case iendelee kuwepo? Si ifutwe na mshitakiwa arudi uraiani kuendelea na mambo yake binafsi.
Mashahidi wenyewe wote ni mambulula, hata hawana wanalolijua, kwani huko chomboni hakuna polisi wasomi na wabobevu wa masuala ya sheria, wawe mashahidi at least hii case ioneshe hata u serious, hawa vilaza wanaokotwa wapi kuja kutia aibu mahakamani na mbele ya umma?
Yaan mie ndo ningekua Lissu, nahisi ningetukana na kuchamba wotee wanaoshikia hii case, siwezi kuvumilia huu upumbavu wa hawa mashahidi.
Hivi ni kweli hawana ufahamu na uelewa, au wana act makusudi? Bado sielewi kwa kweli...
Nimechukia mie leo, huyu shahidi aondoshwe bhana, linatuboa wasikilizaji na wasomaji.
Pumbavuu zake.
Yaan mie hapo mwanzo, nikawa najua hawa div 4 ya 33, wakishakuwa ajira na sare za khakhi, ndo wanapelekwa pale CCP kubrashiwa akili zao ziwe vizuri, kuendana na taratibu za kazi husika.Tangu nikufahamu, sijawahi kukushuhudia ukiuliza maswali yenye logic kama haya.
Kimsingi kwenye nchi yetu kuna tatizo la kuwapa madaraka makubwa watu wenye uwezo mdogo.
Na hapa ukumbuke anayehojiwa ni Inspekta wa polisi! Vipi angekuwa ni Constebo wa polisi! Maana yake hali ingekuwa ni mbaya zaidi.
NB:- Kuna umuhimu mkubwa wa kuibadilisha mitaala ya hawa viumbe. Ni wakati sasa wa kuajiri wasomi, badala ya kuwakusanya watoto wa kota wenye D mbili na kuwapa mafunzo ya upolisi.
Binafsi nasubiri kwa hamu zamu ya Chura Kiziwi kuhojiwa kama shahidi muhimu wa Lissu. 😀
Ishu sio wasomi, ni specialization, police wanajuw mambo in general, hakuna specialization, yaani leo huyu shahidi ni sawa ni sawa na mtu ambaye hajasomea udaktari akaenda kumfanyia mtu operation akaua(kumkamata lisu) sasa napoulizwa maswala ya kidaktari hana analolijua) kwa hiyo majibubya afande yako sahihi pia maana aliingilia fani.Tangu nikufahamu, sijawahi kukushuhudia ukiuliza maswali uenye logic kama haya.
Kimsingi kwenye nchi yetu kuna tatizo la kuwapa madaraka makubwa watu wenye uwezo mdogo.
Na hapa ukumbuke anayehojiwa ni Inspekta wa polisi! Vipi angekuwa ni Constebo wa polisi! Maana yake hali ingekuwa ni mbaya zaidi.
NB:- Kuna umuhimu mkubwa wa kuibadilisha mitaala ya hawa viumbe. Ni wakati sasa wa kuajiri wasomi, badala ya kuwakusanya watoto wa kota wenye D mbili na kuwapa mafunzo ya upolisi.
Wewe watetee tu maafande wenzako. Ila ukweli ndiyo huo. Mambo mengine kama mchakato wa Katiba mpya wa mwaka 2011-2014 na wenyewe unahitaji specialization!Ishu sio wasomi, ni specialization, police wanajuw mambo in general, hakuna specialization, yaani leo huyu shahidi ni sawa ni sawa na mtu ambaye hajasomea udaktari akaenda kumfanyia mtu operation akaua(kumkamata lisu) sasa napoulizwa maswala ya kidaktari hana analolijua) kwa hiyo majibubya afande yako sahihi pia maana aliingilia fani.
Kuna kitabu kizuri sana kinachoweza kutokana na kesi hii!Tutaendelea Jumatatu asubuhi itakuwa ni tarehe 13/10/2025.
Asante sana nimeona wema wako mkuuHapa utapata kila kitu mkuu leo tunaendelea sehemu ya 85 soon naanza kuweka